Mmechoka kufanya mazoezi ya pamoja ya ukakamavu,? Mmemuogopa uncle sam na icc, hatuoni tena matamko ya kibabe ya murilo na polisi wenzake na marc na dc, mmeufyata mkia. Imebakia mikwara ya machawa tu kama wewe mitandaoni ila mikwara rasimi tokea serikalini hakuna...adabu ishawaingia
Kuwa fisadi unamsingizia ni kajamaa tu kamejichokea hakana mbele wala nyuma sema kana ile ya kusema Rais ni mwenzetu. Kajamaa ukikutana nako kamejichokea sana.