Hizi status za WhatsApp balaa!

Wengi huhisi wanapunguza stress kwa njia hiyo ila ndo kwanza anachochea akichek upande wa pili nao umejibu kwa kejeli
 
Mimi najua ya "Kill them with smile, burry them with success"
Mbona ya kawaida sana?
Acha ushamba wewe.
Mimi wanaonikera ni wale waswahili kutwa vijembe.
Aiseee kuna watu wana maneno hatariiii.
 
Mimi najua ya "Kill them with smile, burry them with success"
Mbona ya kawaida sana?
Acha ushamba wewe.
Mimi wanaonikera ni wale waswahili kutwa vijembe.
Aiseee kuna watu wana maneno hatariiii.
Wale wanaogombania mabwana ndo wana status hatarii...Wanachamba palee
 
Wale wanaogombania mabwana ndo wana status hatarii...Wanachamba palee
Kuna shoga yangu huyo ni school mate wangu wa O level, nilikuwa sijui kama ana maneno vile!
Hadi namuogopa!
Huyo anayegombea nae bwana mbona ana kazi?
Natamani ningewapata wote (na mgombezi mwenzie)
 
Watanzania bwana u cares about status mambo ya kitoto
 
mimi nikipata muda huwa napitia status zote kwenye contact..kupitia hizo status naweza kufahamu feelings za mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…