Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Wazapu kuna mambo mweee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Acha umbea.
Hahaha mkuu meipenda iih[emoji1] [emoji1] [emoji1]hahah kuna hii hapa!!!!!!
Kazi ya Moyo ni kusukuma damu nakupenda ni kihelehele chako. huku whatpp noma.
Wale wanaogombania mabwana ndo wana status hatarii...Wanachamba paleeMimi najua ya "Kill them with smile, burry them with success"
Mbona ya kawaida sana?
Acha ushamba wewe.
Mimi wanaonikera ni wale waswahili kutwa vijembe.
Aiseee kuna watu wana maneno hatariiii.
Ole wao wagombee na shogaWale wanaogombania mabwana ndo wana status hatarii...Wanachamba palee
Hii ni ya wale wa kuja mkuu.kwa sisi wabishi tunabaki na "Hey there!! iam using whatsapp[emoji12] [emoji12]
Kuna shoga yangu huyo ni school mate wangu wa O level, nilikuwa sijui kama ana maneno vile!Wale wanaogombania mabwana ndo wana status hatarii...Wanachamba palee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ni ya wale wa kuja mkuu.
Wengi wao hawajui hata status inaandikwaje!
Napenda Wavaa Vikuku sababu mi ndo jogoo Lenyewe, Nanyakua Vifaranga kama nina ukoo na mwewe
WEWE UNA CARE NINI MKUU?by the way kila jambo na wakati wake..Watanzania bwana u cares about status mambo ya kitoto
mimi nikipata muda huwa napitia status zote kwenye contact..kupitia hizo status naweza kufahamu feelings za mtuHivi WhatsApp mtu anatakiwa aweke status ya aina gani hasa kama ni mwenye staha?
Ni mimi tu ambaye labda siendi na mwendokasi au inakuwaje?
Nachungulia status ya mdada mmoja hapa inasomeka hivi "Kill them with success and bury them with a smile".
Tunaouwawa na mafanikio yake ni sisi sote ambao tupo kwenye contact book yake au kuna walengwa?
Ni kawaida na nyie mnakutana na hizi status wakuu? Hebu tupia moja kama kweli!