Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

Mjuu unajua bei ya nguzo moja ya chuma ya hizo taa? Hii sio taa wanayoenda kufunga kwenye socket nyumbani. Na si kila kitu ulichoona Alibaba bei rahisi kina ubora wa kununuliwa au ndio bei elekezi. Waacheni watu wafanye kazi.
Tender imeshatangazwa ?
 
Au labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.

View attachment 1835927View attachment 1836188
Hapo umepigia hesabu taa tu, kuna nguzo za stainless steel, solar panel yenye sensor pamoja na faida ya kampuni inayoshinda tender, ungeleta mchanganuo huo ingekuwa vyema zaidi.
 
Hapo umepigia hesabu taa tu, kuna nguzo za stainless steel, solar panel yenye sensor pamoja na faida ya kampuni inayoshinda tender, ungeleta mchanganuo huo ingekuwa vyema zaidi.
kumbe tender ilitangazwa?
 
Project documents/tender documents/biding documents zimetoka, zinapatikana wapi ?
 
Kwa mji kama Dar wenye sun peak hours kubwa nashauri tutumie taa za Solar maeneo mbalimbali kwanza tuta save bills kubwa ambazo hulipwa Na manispaa pia tutatunza mazingira
 
Nazani zitakuwa zile taa zenye Sola ukichanganya na gharama za ufundi na vifaa vingine
Hapana asee,zile taa,haziwezi kuzidi laki 5,pamoja na ufundi,
Taa zenyewe watt 200,haizidi 250,000,
Tena wakiagiza china bei inakuwa chini zaidi
 
Hakuna taa ya milioni 3,,dunia nzima
inasikitisha sana na mitaa mingi iko na giza tu , acha watu wateteteee ulaji na naona upigaji umekolea moto kwa sasa hii ni blue print wilaya zote watafanya hivi tena nawashauri waweke taa za milioni 7 kwa taa moja ili isonekane serikali inapenda vitu vya kimaskini
 
Hivi Taa kaweka Jokate au wameweka TARURA baada ya kumbwa na Jokate? Suala la gharama linawahusu zaidi TARURA
 
N
Unakubali kabisa tena na kusema safi sana nchi maskini kama Tanzania zitumike sh milioni 100 kwa ajili tu ya taa tena mbele ya ofisi ya DC?
Ndo aina ya ma DC tulionao utafikifi bongo movie,milioni 100?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…