mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Kazi ya serikali haifanyiki bila mchakato wa tender mzee.kumbe tender ilitangazwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya serikali haifanyiki bila mchakato wa tender mzee.kumbe tender ilitangazwa?
Kampuni iliyopewa Tenda , ina share holders ambao ni makampuni mengine mawili ambayo wenyewe ni wakubwa siri-kaa-liniAu labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
View attachment 1835927View attachment 1836188
Kama hadi bwashee kalalamika basi kuna tatizoHahaha
Bwasheh umekiona choo hicho lkn
Isije ikawa choo cha kisasa ukijisaidia unanawishwa....
Kabla ya kulaumu kafanye utalii kdg
Ova
Wilaya yake haina shida ya madawti?Au labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
View attachment 1835927View attachment 1836188