Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

Unajua maana ya fund allocation? Ukijua hilo huwez anza kulazimisha fedha za ujenzi na ukarababati wa miundombinu ikanunue aspirn.
 
Yeye kipaumbele chake ni taa tu aisee

Si kwenda Taifa tu mkuu kifupi ni kwamba Tmk nzima haina barabara zote zimechoka sana. Hakuna anayesema hiyo 100m itajenga barabara lakini kwa hiki anachofanya DC kwa hizo kodi zetu tunapata wasiwasi na vipaumbele vyetu kama viko sawa.Yapo mengi ya kuanza nayo kwa DC mpya Tmk ila hili la taa halikupaswa kuwa mojawapo.
 
Sajili lain yako ya uwakala kwa MAJINA yako
Tgo pesa 120000/
Airtelmoney 60000/
Halopesa 25000/
M-pesa 145000/
M lipa 50000/
Malipo baada ya kazi[emoji736]
Halafu si nasikia badae mnawazunguka wateja wenu wakiweka pesa mnakwiba yaan mnafanya transaction au wewe sio wa hivyo mkuu?
 
Serikali hainunui hizo taa zenu feki
 
Ulichoandika na alichouliza mtoa mada mbona tofauti
 
Kwa uelewa wangu estimations ya kufanya hivyo haizidi 1.5M kwa taa moja
 
Bola huyu analeta taa tunaziona,na usiku zinatupa mwanga .je wengine wanaozichota mi millions of money hazina,halafu wanaandikia kazi maalum ! tuonyesheni kazi gani hiyo maalum,wanasema kazi maalum tu[emoji23][emoji23][emoji23],pumbavu zaaaoooo!
 
Kwa uelewa wangu estimations ya kufanya hivyo haizidi 1.5M kwa taa moja
Mkuu nguzo moja ya taa 6m ambayo ni galvernized class C ni TZS 1.6milioni au angalia nguzo za Fumagali hapo bado kujengea base/kitako; bado taa yenyewe; bado ufundi; bado faida ya mkandarasi; bado general attendance na makorokocho kibao.
Hizo taa unazoziana barabarani za solar zinazozima zima sana ndiyo gharama ya taa moja ni TZS 2.9Milioni ila kwa taa bora nizazozijua mimi ni 4Milioni na wenda mh DC alijichanganya akasema ni 3milioni.
 
Hakika mkuu lakini ndiyo viongozi wetu hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…