Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hizi taarifa za kuwepo kwa majasusi/vipenyo(spies) kwenye vyama vya siasa, taasisi za kidini, timu za mpira, makampuni na taasisi nyingine nyingi za umma zina ukweli gani? Mfano katika vyama vya siasa wengine wanaotajawa katika hizi stori ni viongozi wa juu kabisa.
Hivi kiuhalisia serikali inaweza kuwa na pesa nyingi hivyo za kusambaza majasusi kila taasisi, kampuni na idara nchi hii? Kama ni kweli huo si utakuwa mfumo wa kizamani sana wa utendaji?!
Huko kwenye vyama vya siasa, timu za mpira, dini n.k majasusi watakuwa wanafanya nini cha maana?