Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Jf ni chadema club...
Ingawa sio rasmi..........
Tatizo watanzania wenye acces na internet
ni asilimia moja tu......
Tambueni kuwa education level na exposure ndio vinachangia sana Dr slaa kuongoza watu wenye exposure wanajua hali halisi ya weakness katika uongozi wa kikwete, lakini kutokana na media ambazo zinawafikia wengi wasio na exposure kupamba na kuifagilia serikali iliyopo madarakani ndio maana basi wasio wa exposure na education bado wanaamini kwa kiasi kikubwa CCM na serikali yake ipo juu. Juhudi kubwa inatakiwa kufanya na vyama pinzani kujenga awereness through Radio kwa sababu ndio inawafikia watu wengi na ni rahisi kwa mkulima wa kijijini kuown radio kuliko kuwa na TV au kununua gazeti. nadhani kazi iliyopo kubwa kwa wapinzani ni Rural na ikumbukwe rural tanzaia ina chukua 73% ya population na ndio maana Redet na Synovate wakifanya tafiti mnaona Kikwete anaongoza ni kwasababu sisi wa mjini ambao ni 27% tunadhani wenzetu wa vijijini 79% wana fikra kama zetu. Pia kumbukeni watu wa vjijini ni wagumu saaana kubadilika so inatakiwa kazi kubwa ya ziada kutoka kwa upinzani kuwafumbua macho hawa wenzetu vijijini.
Ishi kwa matumaini mkuu kwa kujipa moyo kwamba 99% ya wananchi hawana access internet?, kaka hatuipendelei CHADEMA na DR Slaa bila vigezo, hizi statistics ni prove tosha weakness ya uongozi wa JK na CCM yenu iliyojaa ahadi lukuki, matumizi makubwa na fedha za umma na kuwakumbatia mafisadi.
Wait and see...
wapi hamna lolote, mbona nyinyi mna ahadi kibao tena za kutisha kuliko hata CCM mnasema mtasomesha hadi form six bure, mnasema mtawalipa mshahara zaidi ya laki tatu kima cha chini, katiba mtabadilisha kwa siku mia (mkisahau kuwa katiba ni jambo zito na hasa ya muungano maana wazanzibari wako macho si sauli la kuota) na mengine mengi.
Jee hili hamuoni kuwa Slaa(Padri alieiba mke wa watu) anatoa ahadi hewa
Jf ni chadema club...
Ingawa sio rasmi..........
Tatizo watanzania wenye acces na internet
ni asilimia moja tu......
sasa hapo ndio unapopata picha ya upumbavu wa watanzania walio wengi tena walio vijijini. Bora sie wa mjini tunajua maisha yanaendaje, hela inatafutwaje, nani anaiba nini na vipi, siasa ni mchezo wa aina gani. Hao hao walio na maisha duni ndio hao wanaosahau dhiki zao kwa muda kwa ulaghai wa mwezi mmoja na kuirudisha serikali ya awali madarakani. Sie wachache wa mjini tunazidiwa nguvu na hao wengi. Maisha ya huko vijijini yanatisha ila hawaoni hilo. Labda tuamini kuwa si akili zao zinazotumika wakati wa upigaji kurakwakweli takwimu hizi ni za watu wenye access na mitandao ambao wengi ni wa mijini...ndio maana tunaposema kuwa CCM inakubalika vijijini na kwa wananchi wa kawaida watu wanakasirika bila kujua ukweli huu..watanzania wengi hata gazeti hapa mjini wanalisoma kwenye mbao za wauzaji...wanaopiga hiyo kura ya Oktoba kuchagua viongozi huwa wachache so hii haireflect kabisa population ya TZ so tujipe moyo tu ila ukweli unapojidhihiri ndipo tunadai tumeibiwa kura kumbe tulisahau kutazama wengi(wasio na access) wanasemaje.
tambueni kuwa education level na exposure ndio vinachangia sana dr slaa kuongoza watu wenye exposure wanajua hali halisi ya weakness katika uongozi wa kikwete, lakini kutokana na media ambazo zinawafikia wengi wasio na exposure kupamba na kuifagilia serikali iliyopo madarakani ndio maana basi wasio wa exposure na education bado wanaamini kwa kiasi kikubwa ccm na serikali yake ipo juu. Juhudi kubwa inatakiwa kufanya na vyama pinzani kujenga awereness through radio kwa sababu ndio inawafikia watu wengi na ni rahisi kwa mkulima wa kijijini kuown radio kuliko kuwa na tv au kununua gazeti. Nadhani kazi iliyopo kubwa kwa wapinzani ni rural na ikumbukwe rural tanzaia ina chukua 73% ya population na ndio maana redet na synovate wakifanya tafiti mnaona kikwete anaongoza ni kwasababu sisi wa mjini ambao ni 27% tunadhani wenzetu wa vijijini 79% wana fikra kama zetu. Pia kumbukeni watu wa vjijini ni wagumu saaana kubadilika so inatakiwa kazi kubwa ya ziada kutoka kwa upinzani kuwafumbua macho hawa wenzetu vijijini.
aaah wapi, not scientific and absolutely doesn't represent general population. Hata hivyo inaweza ikatupa idea ya mwelekeo wa wale watumishi, wasomi, wanafunzi na wenye access ya mtandao watakavyopiga kura (endapo watapiga kura). Otherwise, its purely for entertainment.
Jf ni chadema club...
Ingawa sio rasmi..........
Tatizo watanzania wenye acces na internet
ni asilimia moja tu......
Unapoingia jf unakutana na mchakato wa kura dhidi ya wagombea wote wa ngazi ya urais. Kati ya wote, dr. Slaa anaongoza kwa %79 akifuatiwa na kikwete kwa %14. Hizi takwimu zinaakisi hali halisi ya upigaji kura? Tunaweza kusema tunayafananisha maoni haya na redet na synovate? Huu ushindi wa slaa wa mtandaoni unaweza vipi kushawishi hali halisi. Mwananchi wa kawaida anajua kuwa slaa anaongoza kura za maoni humu? Haya ni muhimu kuyafahamu na kuyanyumbulisha