Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Unapoingia jf unakutana na mchakato wa kura dhidi ya wagombea wote wa ngazi ya urais. Kati ya wote, dr. Slaa anaongoza kwa %79 akifuatiwa na kikwete kwa %14. Hizi takwimu zinaakisi hali halisi ya upigaji kura? Tunaweza kusema tunayafananisha maoni haya na redet na synovate? Huu ushindi wa slaa wa mtandaoni unaweza vipi kushawishi hali halisi. Mwananchi wa kawaida anajua kuwa slaa anaongoza kura za maoni humu? Haya ni muhimu kuyafahamu na kuyanyumbulisha