"wapi hamna lolote, mbona nyinyi mna ahadi kibao tena za kutisha kuliko hata CCM mnasema mtasomesha hadi form six bure, mnasema mtawalipa mshahara zaidi ya laki tatu kima cha chini, katiba mtabadilisha kwa siku mia (mkisahau kuwa katiba ni jambo zito na hasa ya muungano maana wazanzibari wako macho si sauli la kuota) na mengine mengi.
Jee hili hamuoni kuwa Slaa(Padri alieiba mke wa watu) anatoa ahadi hewa"
Ivi unajua kuwalipa walimu wafanyakazi 300 mshahara wa laki 300 jumla ni 1,080,000,000.00
tshs kwa mwaka.
Tafuta report ya CAG uone fedha ngapi zimetolewa hati chafu,malupulupu tuu watu wanalamba mpaka 500 billion,furniture za wizara kila mwaka 20 billion wakati kuna wizara mwaka wa 2 huu hawajabadili furniture.
Mtu wa pwani sio elimu bure tuu atta afya bure inawezekana