Elections 2010 Hizi takwimu zinaakisi hali halisi?

Elections 2010 Hizi takwimu zinaakisi hali halisi?

hii ni expression ya intellectuals, hata mitaani, intellectuals watakubaliana na hizi figure, shida unapokuja kwa wasiofaham issues, sipendi kuwaita wajingaau mbumbumbu kwani ni ndugu zetu japo hawakupata fursa ya kuelimika na ku sharpen understanding zao ambao wakiambiwa upinzani unaleta vita wanaamini ndio shida!
 
"wapi hamna lolote, mbona nyinyi mna ahadi kibao tena za kutisha kuliko hata CCM mnasema mtasomesha hadi form six bure, mnasema mtawalipa mshahara zaidi ya laki tatu kima cha chini, katiba mtabadilisha kwa siku mia (mkisahau kuwa katiba ni jambo zito na hasa ya muungano maana wazanzibari wako macho si sauli la kuota) na mengine mengi.

Jee hili hamuoni kuwa Slaa(Padri alieiba mke wa watu) anatoa ahadi hewa"
Ivi unajua kuwalipa walimu wafanyakazi 300 mshahara wa laki 300 jumla ni 1,080,000,000.00
tshs kwa mwaka.
Tafuta report ya CAG uone fedha ngapi zimetolewa hati chafu,malupulupu tuu watu wanalamba mpaka 500 billion,furniture za wizara kila mwaka 20 billion wakati kuna wizara mwaka wa 2 huu hawajabadili furniture.
Mtu wa pwani sio elimu bure tuu atta afya bure inawezekana
 
CCM katika mwaka 2008/2009 ilitenga zaidi ya shilingi bilioni 509 (zaidi ya
nusu Trilioni) kwa ajili ya posho mbalimbali. Hii ni sawa na malipo ya mwaka
mzima ya walimu zaidi ya 109,000!
 
Suala la msing hapa ni kwamba lazima utambue wengi wanaotumia net kwa wingi mara nyingi wapo consious na wanafahamu what going on in this country pia ndio wanaotoa maoni yao kweny jf,
sasa hi kamwe hawezi ku reflect ukweli halisi sababu idadi kubwa ya watanzania hawafahamu suala la kutoa maoni througth at kutumia internet!!
WAZO:ni budi kwa Watanzania kuwa na malengo ya muda mrefu tumezoea utawala wa ccm kwa miongo kadhaa wakitawala kwa itikadi zilezile kwanini tusibadilike ili tuone??na upinzani utakaposhika hatamu ndipo hapo ahadi za viongozi zitaanza kuwa na ukweli wake!!
 
That's right! I've said it before that this is an unscientific poll and it doesn't tell much. Kwanza kuna watu kibao humu wenye multiple IDs ambao sitashangaa kama wamepiga hiyo kura zaidi ya mara moja....
hata ukiuliza maswali ya aina mbali mbali kama ujapata population yote bado poll yako itakuwa biased kwa ajili itakuwa section flani ya society. ili kuondoa huu utata pollster wengi wanaamini kwamba section flani ya society ndio ina represent mawazo ya the whole country
its very expensive na time consuming to analyse the whole population
JF polls ni kama online polls zingine zote duniani. hata zogby poll zinakuwa zinauliza jamii ya watu fulani tu na si wamarekani wote
watu ambao wanapenda kusoma magazeti ya tabloids huwezi kupata katika issue za mambo ya msingi katika nchi, kwa hiyo mara niyngi polls za maswala ya nchi zinarepresent section flani of the society.

hata daily news wamefanya poll kama hii na results ni zile zile, na ukiwa mjini dar wafanyakazi wote utawasikia wanamwongelea slaa. slaa ndio mtu kwa wakati huu.
 
Back
Top Bottom