Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Uko sahihi. Pale Instagram, ukitumia promotion ads za kulipia, wateja wengi ni wa dsm.Kwa tunaotangazaga biashara mitandaoni tutakuwa tumeshuhudia hili. Zaidi ya asilimia themanini ya wateja wa mitandaoni wanatoka Dar. Hii inaonyesha ni jinsi gani Dar ilivyoiacha mmbali mikoa mingine yote. Hizi hapa ni takwimu za matangazo ya biashara instagram.
View attachment 2785821
Uchumi unazingua. Wavizie mwisho wa mwezi. Weka bajeti kubwa kwa wiki moja wanayokuwa na hela. Siku zingine kavu sanaUko sahihi. Pale Instagram, ukitumia promotion ads za kulipia, wateja wengi ni wa dsm.
Sema nowadays hadi dar wamekaukiwa maokoto. Ila ile miezi mitano kabla ya 6 ilikuwa ni moto.
Yaani kaka, imekuwa hovyo ila mbinu ya mwisho wa mwezi nilikuwa siijui.Uchumi unazingua. Wavizie mwisho wa mwezi. Weka bajeti kubwa kwa wiki moja wanayokuwa na hela. Siku zingine kavu sana
Hiyo huwa inatokea tu. Sehemu za kawaida ni Dar, Mwanza, Dodoma, Zanzibar, Mbeya na Morogoro. Hizi ndizo sehemu zenye watu wengi mitandaoni.Lindi?????
Hapa kwanza nicheke
OK.ila point kuu ibaki dar ndo inapngoza kwa trafficsHiyo huwa inatokea tu. Sehemu za kawaida ni Dar, Mwanza, Dodoma, Zanzibar, Mbeya na Morogoro. Hizi ndizo sehemu zenye watu wengi mitandaoni.