KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 187
Kwanza ya yote niseme mimi ni mwanachama halali wa CDM...hivyo kwangu mimi CCM ni adui namba moja....Lakini kukaa chini na kusema kuwa Kinana anachakachua kura huko kenya ni hoja mufilisi na isiyo na mashiko......Kinana hana influence yoyote wala ability ya kuwachakachua wakenya ambao ni wajanja kuliko mambulula wa Tanzania....anaiba kwa kutumia mfumo upi..??na kwa uzoefu upi???
CIA na FBI hadi sasa wameshindwa kumuweka kibaraka wao Raila,seuze Kinana ambaye hata ufanisi ndani ya chama chake ni mdogo...
tuache hizo
CIA na FBI hadi sasa wameshindwa kumuweka kibaraka wao Raila,seuze Kinana ambaye hata ufanisi ndani ya chama chake ni mdogo...
tuache hizo