Hizi tetesi za kinana yupo kenya ni za kipuuzi

Unakataa nini sasa? Hujui kuwa dagaa mboga kuku mbwembwe? Silaha pesa bastola mzigo, heshima pesa shikamoo ni kelele, Upara bila elimu ni kovu.

pamoja na yoooote lakini hana uwezo wa kuwachakachua wakenya......nakwambia mabepari wa magharibi wanatapatapa kwa sasa unamzungumzia kinana asiye na hili wala lile...tena katika nchi ya ugenini ambako hana mtandao thabiti....HAWEZI...we jua hivyo na tuache ushabiki wa kisiasa....mimi simfagilii kinana...ni adui kwangu lakini hili jambo halina mashiko kama lile la ridhiwan na uchina

si kosa lako ni mtaalaa
( Nina elimu ya ujasiriamali,leadership skills,maswala mbalimbali ya kijamii,elimu ya mazingira,mabadilko ya tabia ya nchi,elimu kuhusu malengo ya millenia na pia maendeleo endelevu.

Elimu hizo nimezipata kupitia course mbalimbali nilizofanya kipindi nipo form five na six.
Kwa yeyote anayejua NGO ninayoweza kufanya nayo kazi ninaomba anisaidie kwa kuwasiliana nami kupitia namba 0719579733.
asanteni sana)

katafute kazi kwanza

Jamani tusishindane sana hapa kwa sababu upinzani sio kupinga kila kitu. Mtu akienda mahali kwa shughuli zake mwenyewe sio tatizo ilimradi tu kule alikoenda asije akafanya mambo ambayo yanaweza kulidhalilisha taifa letu. Pili Kuiba kura Kenya ni vigumu kwa sababu wakenya wapo macho kama tulivyozilinda kura za Mnyika pale loyola Sekondari Mwaka 2010 na kura za Urais wa Kenya ninaona kama zinalindwa hivyohivyo. Tatu Katiba Mpya ya Kenya imeleta ufanisi mkubwa sana kwa Kenya na ustaarabu uliotengemaa miongoni mwa wakenya Je Katiba ya Tanzania itakuwa na tija mnamo mwaka 2015? tuisubiri tume ya mabadiliko ya Katiba tuone itakuja na rasimu gani.

kinana ana uzoefu wa kuiba kura mwaka gani?

kwa nini unakimbilia kuiba na siyo u-expert katika election strategies....kamwulize kikwete kwa nini Kinana alikuwa campain Manager wa Mkapa (both terms) na hata yeye Kikwete mara zote mbili...ndiyo utajua.

sio ngumbaro,makiwaru,sabuku,lekrumuni au karansi?
Pumbavu
Naibili

Last edited by a moderator:

hili ndilo jibu sahihi

kwa nini unakimbilia kuiba na siyo u-expert katika election strategies....kamwulize kikwete kwa nini Kinana alikuwa campain Manager wa Mkapa (both terms) na hata yeye Kikwete mara zote mbili...ndiyo utajua.
Bado uwezo wake katika chaguzi za ndani haivalidate uwezo wake katika kuiba kura kwenye mataifa mengine....kama anajua sana angeweza kuzimaintain zile 80% za kikwete za mwaka 2005 katika uchaguzi wa 2010
Utingo

Last edited by a moderator:
si kosa lako ni mtaalaa
( Nina elimu ya ujasiriamali,leadership skills,maswala mbalimbali ya kijamii,elimu ya mazingira,mabadilko ya tabia ya nchi,elimu kuhusu malengo ya millenia na pia maendeleo endelevu.

Elimu hizo nimezipata kupitia course mbalimbali nilizofanya kipindi nipo form five na six.
Kwa yeyote anayejua NGO ninayoweza kufanya nayo kazi ninaomba anisaidie kwa kuwasiliana nami kupitia namba 0719579733.
asanteni sana)

katafute kazi kwanza

nimalizie tu na sanya juu...huku nikikwambia kuwa kwasasa nimepata kazi...ndo kwanza nimemaliza shule lakini ninalipwa 250,000/= inaweza ikawa ndogo but kuna watu wapo mitaani kwa kukosa nafasi kama hizo...ni kwa uwezo nilionao na sio kwa blabs

Nakubaliana na wewe lakini si mtu wa ku-underestimate

Kwanza ya yote niseme mimi ni mwanachama halali wa CDM...hivyo kwangu mimi CCM ni adui namba moja....Lakini kukaa chini na kusema kuwa Kinana anachakachua kura huko kenya ni hoja mufilisi na isiyo na mashiko......Kinana hana influence yoyote wala ability ya kuwachakachua wakenya ambao ni wajanja kuliko mambulula wa Tanzania....anaiba kwa kutumia mfumo upi..??na kwa uzoefu upi???

CIA na FBI hadi sasa wameshindwa kumuweka kibaraka wao Raila,seuze Kinana ambaye hata ufanisi ndani ya chama chake ni mdogo...
tuache hizo

CDM wanachama wetu wako makini. Kidumu chama cha mpinduzi

Hata kama unahoja ya msingi, kututukana watz imeifanya hoja yako kuwa mfu!

Ukweli ningechangia lakini naogopa BAN!!!!

Tiba

mmekalia kuniganda hapa...kwani mara ngapi mmetukanwa na viongozi wenu mliowachagua na mkakaa kimya?

Ukweli ningechangia lakini naogopa BAN!!!!

Tiba

usiwe muoga sana...kuogopa kwa kuficha kile kilichopo ndani yako ni udhaifu dhahiri...hata kama ni tusi we toa...bila namna hiyo mwakyembe asingekuwa alipo leo

By Naibili

si kosa lako ni mtaalaa

( Nina elimu ya ujasiriamali,leadership skills,maswala mbalimbali ya kijamii,elimu ya mazingira,mabadilko ya tabia ya nchi,elimu kuhusu malengo ya millenia na pia maendeleo endelevu.

Elimu hizo nimezipata kupitia course mbalimbali nilizofanya kipindi nipo form five na six.

Kwa yeyote anayejua NGO ninayoweza kufanya nayo kazi ninaomba anisaidie kwa kuwasiliana nami kupitia namba 0719579733.

asanteni sana)

katafute kazi kwanza

sio ngumbaro,makiwaru,sabuku,lekrumuni au karansi?

Pumbavu

Naibili

@mods sijui mmeona!! huyu anatakiwa akasome, kumaliza 4m 6 si mwisho wa elimu

nimalizie tu na sanya juu...huku nikikwambia kuwa kwasasa nimepata kazi...ndo kwanza nimemaliza shule lakini ninalipwa 250,000/= inaweza ikawa ndogo but kuna watu wapo mitaani kwa kukosa nafasi kama hizo...ni kwa uwezo nilionao na sio kwa blabs
Naibili

Sasa huoni haja ya kuendelea na masomo, ili kukuza uelewa wako?????

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom