KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 187
Usingetiririka povu kiasi hiki, unaweza kuumia bure, simpo ungesema Kinana hayuko Kenya Bali yuko hapa au pale topic kweisha.. Sasa kusema temboman haiko Kenya Na hujui iko wapi is insane.. Tuweni wastaarab tukitaka kudefend Hoja SIO kuleta Hoja juu ya Hoja inachosha..Kwanza ya yote niseme mimi ni mwanachama halali wa CDM...hivyo kwangu mimi CCM ni adui namba moja....Lakini kukaa chini na kusema kuwa Kinana anachakachua kura huko kenya ni hoja mufilisi na isiyo na mashiko......Kinana hana influence yoyote wala ability ya kuwachakachua wakenya ambao ni wajanja kuliko mambulula wa Tanzania....anaiba kwa kutumia mfumo upi..??na kwa uzoefu upi???
CIA na FBI hadi sasa wameshindwa kumuweka kibaraka wao Raila,seuze Kinana ambaye hata ufanisi ndani ya chama chake ni mdogo...
tuache hizo
Kwanza ya yote niseme mimi ni mwanachama halali wa CDM...hivyo kwangu mimi CCM ni adui namba moja....Lakini kukaa chini na kusema kuwa Kinana anachakachua kura huko kenya ni hoja mufilisi na isiyo na mashiko......Kinana hana influence yoyote wala ability ya kuwachakachua wakenya ambao ni wajanja kuliko mambulula wa Tanzania....anaiba kwa kutumia mfumo upi..??na kwa uzoefu upi???

Hivi unaugomvi gani wewe na wazungu? Ama huna sifa za kwenda kwao angalau kung'aza macho tu ndiyo maana unawachukia sana ki hivyo? Uwe mpole!!!!!!!!!!!
Haibadilishi maana....kwa yeyote aliyesoma content ameelewa....Sijakataa kama kinana yupo kenya...lakini kuwepo kwake kenya hakuwezi kuleta impact yoyote kwenye uchaguzi...niambie kaenda kuiba meno ya tembo...siwezi kubisha...lakini hii ya uchaguzi haipo sawa hata kidogo
Kwanza ya yote niseme mimi ni mwanachama halali wa CDM...hivyo kwangu mimi CCM ni adui namba moja....Lakini kukaa chini na kusema kuwa Kinana anachakachua kura huko kenya ni hoja mufilisi na isiyo na mashiko......Kinana hana influence yoyote wala ability ya kuwachakachua wakenya ambao ni wajanja kuliko mambulula wa Tanzania....anaiba kwa kutumia mfumo upi..??na kwa uzoefu upi???
CIA na FBI hadi sasa wameshindwa kumuweka kibaraka wao Raila,seuze Kinana ambaye hata ufanisi ndani ya chama chake ni mdogo...
tuache hizo
Kwanza watake radhi watanzania kwa kuwaita mambulula, shenzi zako. Hili ni tatizo la watu waliozaliwa chooni. Unalaana sana wewe mpumbavu mkubwa! Leta hoja zenye weredi na sio kutukana taifa na watu wake.
humjui kinana wewe. unadhani kwa nini wamemtoa mbulula ukatibu mkuu ccm na kumweka kinana?