furthermore...sijui kabisa elimu ya mtu inahusika nini katika kumjenga kiakili...hasa elimu ya kitanzania....nicolas maduro anayetarajiwa kumrithi hugo chavez kaishia form six....hiyo haitoshi,jacob zuma hajawahi kwenda shule kabisaaaa...sasa sijui kama kuna mchango wa elimu katika kila kitu