Hizi tetesi za Lissu kujiondoa kugombea uenyekiti chadema zina ukweli?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni?

Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
 
Hiyo scenario itakuwa nzuri. Na Mbowe naye ajiondoe wampe Heche watakuwa wamewapiga suprise kubwa maadui!
 
Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni?

Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
Ni za kweli,kama huamini,msikilize yeye mwenyewe,akiongea
 
Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni?

Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
Tetesi za Lumumbani 😂
 
Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni?

Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
hizo tetesi zinaletwa na ule upande unaotoa nusu mkate,bado ngoma mbichi Lisu hakuna kujitoa
 
mbowe na wajinga wanaomzunguka ndivyo wanavyotamani iwe hivyo, ila kwa Lissu wasahau!!.
Mbowe anakwenda kuaibishwa uchaguzi huu, hana hoja za kumbeba kuendelea na uenyekiti...hana jipya!!.
Anategemea kuhonga tu wajumbe kwa kusaidiwa na ccm.
 
Back
Top Bottom