sio hivyo,hii ni waliochaguliwa kushindwa kutimiza wajibu waoNi udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.
Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa.
Ninapendekeza teuzi na tanguzi za viongozi zifanywe kwa kuzingatia weledi na maslahi mapana ya Taifa.
Kama walishindwa kutekeleza wajibu wao kwanini kuwateua tena?!sio hivyo,hii ni waliochaguliwa kushindwa kutimiza wajibu wao
Unapoongoza watu,unamjua kila mmoja na uwezo wake,kuna watu unawapumzisha kama onyo kwao ili wajirekebishe,ndipo unapowateua tena kwaninwana uzuri wao mahali fulaniKama walishindwa kutekeleza wajibu wao kwanini kuwateua tena?!
Huu ndio utaratibu wa hovyo kabisa.Unapoongoza watu,unamjua kila mmoja na uwezo wake,kuna watu unawapumzisha kama onyo kwao ili wajirekebishe,ndipo unapowateua tena kwaninwana uzuri wao mahali fulani
kwako wewe ni hovyo kwakuwa hujui uongozi,hujaongoza popote unachojua ni kuropoka tuHuu ndio utaratibu wa hovyo kabisa.
Wewe utakuwa mtu mjinga kama unaona ni sawa kwa kiongozi kuteuliwa halafu anatanguliwa halafu anateuliwa tena na hata kutanguliwa tena! Ndivyo akili yako ilivyo.kwako wewe ni hovyo kwakuwa hujui uongozi,hujaongoza popote unachojua ni kuropoka tu
Exactly, udhaifu huu hauishii hapa, it traverses all walks of governance!Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.
Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko.
Ninapendekeza teuzi na tanguzi za viongozi zifanywe kwa kuzingatia weledi na maslahi mapana ya Taifa.
Naunga mkono hoja tena niliwahi kuuliza Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.
Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko.
Ninapendekeza teuzi na tanguzi za viongozi zifanywe kwa kuzingatia weledi na maslahi mapana ya Taifa.
mimi nimeongoza watu,na ujuzi mkubwa sana wa saikolojia ya binafamu,najua jinsi binadamu anavyokisea,anavyoonywa na kupewa nafasi tena,hio ndio leadership,sio hivyo unavyodhani wewe,kwakuwa wewe ni mbumbumbu,wajibu wangu ni kukuelimusha kwani pamoja na ujinga wako kuna mahali fulani unafaa au pia unaweza kujirekebishaWewe utakuwa mtu mjinga kama unaona ni sawa kwa kiongozi kuteuliwa halafu anatanguliwa halafu anateuliwa tena na hata kutanguliwa tena! Ndivyo akili yako ilivyo.
Huwezi kuona mtindo huu dhaifu wa uongozi kwa mataifa yaliyo na weledi na maendeleo. Hii ni tabia ya viongozi wa Africa hususan Tanzania ambapo siasa huheshimiwa zaidi kuliko weledi (professionalism).mimi nimeongoza watu,na ujuzi mkubwa sana wa saikolojia ya binafamu,najua jinsi binadamu anavyokisea,anavyoonywa na kupewa nafasi tena,hio ndio leadership,sio hivyo unavyodhani wewe,kwakuwa wewe ni mbumbumbu,wajibu wangu ni kukuelimusha kwani pamoja na ujinga wako kuna mahali fulani unafaa au pia unaweza kujirekebisha
Kwani katiba inasemaje?Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.