Hizi teua-tangua za awamu ya sita zinaonesha ukosefu wa umakini katika maamuzi ya kitaifa

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.

Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko.

Ninapendekeza teuzi na tanguzi za viongozi zifanywe kwa kuzingatia weledi na maslahi mapana ya Taifa.
 
Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa.

Ninapendekeza teuzi na tanguzi za viongozi zifanywe kwa kuzingatia weledi na maslahi mapana ya Taifa.
sio hivyo,hii ni waliochaguliwa kushindwa kutimiza wajibu wao
 
Kama walishindwa kutekeleza wajibu wao kwanini kuwateua tena?!
Unapoongoza watu,unamjua kila mmoja na uwezo wake,kuna watu unawapumzisha kama onyo kwao ili wajirekebishe,ndipo unapowateua tena kwaninwana uzuri wao mahali fulani
 
Pia inashusha morari ya kazi kwa wateuliwa...pia kuwa wezi zaidi maana wanajua muda wowote wanatumbuliwa so wanakuwa hawathamini ofisi wanajua ni eneo la kupita tu kamaa choo tu..ukimaliza unaondoka
 
Unapoongoza watu,unamjua kila mmoja na uwezo wake,kuna watu unawapumzisha kama onyo kwao ili wajirekebishe,ndipo unapowateua tena kwaninwana uzuri wao mahali fulani
Huu ndio utaratibu wa hovyo kabisa.
 
kwako wewe ni hovyo kwakuwa hujui uongozi,hujaongoza popote unachojua ni kuropoka tu
Wewe utakuwa mtu mjinga kama unaona ni sawa kwa kiongozi kuteuliwa halafu anatanguliwa halafu anateuliwa tena na hata kutanguliwa tena! Ndivyo akili yako ilivyo.
 
Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.

Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko.

Ninapendekeza teuzi na tanguzi za viongozi zifanywe kwa kuzingatia weledi na maslahi mapana ya Taifa.
Exactly, udhaifu huu hauishii hapa, it traverses all walks of governance!

4 principles of good governance ........to mention but a few
1. accountability
2. leadership
3. integrity
4. stewardship and
5. transparency .
 
Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.

Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko.

Ninapendekeza teuzi na tanguzi za viongozi zifanywe kwa kuzingatia weledi na maslahi mapana ya Taifa.
Naunga mkono hoja tena niliwahi kuuliza Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

P
 
Wewe utakuwa mtu mjinga kama unaona ni sawa kwa kiongozi kuteuliwa halafu anatanguliwa halafu anateuliwa tena na hata kutanguliwa tena! Ndivyo akili yako ilivyo.
mimi nimeongoza watu,na ujuzi mkubwa sana wa saikolojia ya binafamu,najua jinsi binadamu anavyokisea,anavyoonywa na kupewa nafasi tena,hio ndio leadership,sio hivyo unavyodhani wewe,kwakuwa wewe ni mbumbumbu,wajibu wangu ni kukuelimusha kwani pamoja na ujinga wako kuna mahali fulani unafaa au pia unaweza kujirekebisha
 
Huwezi kuona mtindo huu dhaifu wa uongozi kwa mataifa yaliyo na weledi na maendeleo. Hii ni tabia ya viongozi wa Africa hususan Tanzania ambapo siasa huheshimiwa zaidi kuliko weledi (professionalism).
 
Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.

Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko.

Ninapendekeza teuzi na tanguzi za viongozi zifanywe kwa kuzingatia weledi na maslahi mapana ya Taifa.
Kwani katiba inasemaje?
 
Mi nafikiri hapo juu ndo kuna shida zaidi. Haiwezekani ukose imani na mtu fulani leo na una vyombo vyote muhimu kwa kufanya vetting halafu mtu huyo baada ya muda tu mfupi umrudishe kwenye nafasi aidha ileile au nyingine.

Kuna watu walishatumbuliwa na mtangulizi wake kwa kashfa za waziwazi yeye alikuja akaona wameonewa akawarudisha serikalini baada ya muda tena kawaona hawafai na akawatoa dah hii nchi yetu kwa sasa aise ni kama ipoipo tu haina direction kabisa.
 
Back
Top Bottom