Hizi teuzi na tenguzi zimetosha, tujadili kipi tuache kipi?

tatizo lako,una chuki na majibu mfukoni,hujui repoti za cag zikoje,sheria za nchi zikoje,ni kulaumu kila kitu
Labda wewe unaweza Kunipa majibu,

Juzi tumepokea ndege mpya, wakati huo huo Kuna ndege zimepaki hazifanyi KAZI,

CAG anaripoti ATCL inaendeshwa Kwa HASARA,

Hivi hata kama ungekuwa wewe ndiye mlipakodi ungeelewa nini?

Waziri wa uchukuzi anayehusika huko na Bandari ni huyo huyo kwanini Yeye haguswi na hizi teuzi na tenguzi?

Karibu🙏
 
Ila ccm Kwa spinning ni hatari sana hiki chama chetu!!japo ni spinning za kijinga ambazo hazina Afya Kwa taifa la salsa na lijalo!!

Huko Arusha olesendeka eti kapigwa risasi halafu ghafula makonda Kawa mkuu wa mkoa wa Arusha!!Sasa sijui wanataka kusemaje !kwamba makonda anaenda kuendeleza kundi la wasiojulikana Arusha!!?

So sad!
 
Cc.P,mwamba kakusahau😀
 
Taifa hili halina Rais bali mtu aliyepewa madaraka,ambayo hawezi ni aibu ndani ya miaka 3,Kazi ya Rais inakuwa tengua na teua.

Shida kubwa ya wapumbavu ni kushindwa kutambua upambavu wao.
 
Taifa hili halina Rais bali mtu aliyepewa madaraka,ambayo hawezi ni aibu ndani ya miaka 3,Kazi ya Rais inakuwa tengua na teua.

Shida kubwa ya wapumbavu ni kushindwa kutambua upambavu wao.
Mwaka wa wa nne huu, teua tengua,

Ukitafuta TIJA ya hao wanaohama Kila kukicha haionekani.

Wananchi wataamua.
 
Usicheze na kitita(kikapu) cha Mwarabu.
Teuzi na teuzi za kimchongo!!

Hazilengi kuipunguzia kero Mwananchi kama bima za wachanga kufutwa, bima kukataliwa hospitalini, mtihani wa vikokotoo, kukosekana Kwa maji mijini nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…