Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kama Chadema hiyo ndio itawapa kura Oktoba?Kwakweli hata mimi haya matangazo yananiboa na sioni umuhimu wake kwa kipindi hiki. Unapita huko kuokoteza taarifa za vifo unakuja kutangaza humu ili iweje sasa? Ikitokea wakafa zaidi ya 1000 kwa siku kama huko Marekani bado utatangaza?
Hivi ile Bar pale bado ipo?Peace, round about ya kuelekea Makumbusho kuna maiti iko pale tangu mchana, askari wamekuja wameuacha mwili, wahusika wa corona walisema wanakuja ila mpaka saa 4 usiku naondoka pale hakukua na wahusika waliokuja.
Hizi tanzia acha ziendelee zije.
Nimefanya muendelezo palepale nilipo anzia, nimetoa shukrani zangu kwa dhati kabisa na nimewashirikisha yote niliyo tumia hadi nikawa hivi nilivyo
Bado ipo
Umepona mkuu?Minadhani.....
Kuna tofauti kubwa kati ya historia na kumbukumbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kama chadema hiyo ndio itawapa kura oktoba?
(kwa akili zao lakin)
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana babu, na karibu tena jf.Nimefanya muendelezo palepale nilipo anzia, nimetoa shukrani zangu kwa dhati kabisa na nimewashirikisha yote niliyo tumia hadi nikawa hivi nilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
okay mkuu.....nashukuru sana...