Hizi thread hua zinaniondoa kwenye mood completely, yaani jumlajumla

Hizi thread hua zinaniondoa kwenye mood completely, yaani jumlajumla

Kwakweli hata mimi haya matangazo yananiboa na sioni umuhimu wake kwa kipindi hiki. Unapita huko kuokoteza taarifa za vifo unakuja kutangaza humu ili iweje sasa? Ikitokea wakafa zaidi ya 1000 kwa siku kama huko Marekani bado utatangaza?
Hujui kama Chadema hiyo ndio itawapa kura Oktoba?

(kwa akili zao lakin)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peace, round about ya kuelekea Makumbusho kuna maiti iko pale tangu mchana, askari wamekuja wameuacha mwili, wahusika wa corona walisema wanakuja ila mpaka saa 4 usiku naondoka pale hakukua na wahusika waliokuja.

Hizi tanzia acha ziendelee zije.
Hivi ile Bar pale bado ipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom