Hizi Toyota Rumion mnazionaje wadau?

Hizi Toyota Rumion mnazionaje wadau?

mexico 1980

Member
Joined
May 15, 2015
Posts
68
Reaction score
50
Nasikia ni kali balaa. mwenye kuelewa performance yake atuambie.
c.f.. RRONDO

1608705790672.png

Toyota Rumion
 

Attachments

  • 1608705771173.png
    1608705771173.png
    305.6 KB · Views: 71
Rumion ziko poa Sana hasa Kwenye space yake, performance yake iko poa na inachanganya mapema mno..
kama unataka kununua ni Bora uagize mwenyewe kutoka Japan kuliko kununua hapa bongo maana bei yake iko juu tofauti na uhalisia,hizi ni gari ambazo tunatamba nazo mjini ndiyo maana wafanyabiasha wa Magari wamepandisha bei.

IMG_20201015_165630.jpg
IMG_20201024_121048.jpg
IMG_20201121_120011.jpg
 
Nyuma ina umbo zuri ila mbele ipo kama kambale, Dashboard sijui wamemgeuzia abiria ndio awe anaangalia badala ya dereva
Duniani hatuwezi kupenda kitu kimoja, mwingine anaona gari ya kishamba na mwingine anapigana anunue ni kama vile watu wengi tunaiponda Passo huku mtu mwingine anawaza ataipata lini
 
Rumion ziko poa Sana hasa Kwenye space yake, performance yake iko poa na inachanganya mapema mno..
kama unataka kununua ni Bora uagize mwenyewe kutoka Japan kuliko kununua hapa bongo maana bei yake iko juu tofauti na uhalisia,hizi ni gari ambazo tunatamba nazo mjini ndiyo maana wafanyabiasha wa Magari wamepandisha bei
hiyo camera ni simu gani?singsun au itel?
 
Back
Top Bottom