Hizi Toyota Rumion mnazionaje wadau?

Hizi Toyota Rumion mnazionaje wadau?

Imetaka kufanana na Honda Elysion...
 
Sometimes kama hujui kitu ni Bora unyamaze Tu kwani CVT transmission IPO Kwenye rumion pekeyake?
Kuna Magari mengi mno yanatumia huyo mfumo na hakuna shida yeyote...
Nalitumia sasa ni mwezi wa 4 tokea niwe nalo na sijaona shida yeyote Kwenye transmission

Huwezi kulijua gari kwa kukaa nalo miezi minne,fatilia nilichoeleza then utapata uelewa
 
Back
Top Bottom