Hizi Toyota Rumion mnazionaje wadau?

Hizi Toyota Rumion mnazionaje wadau?

Nimekula nako mzinga juzi kati, kamevingirika mara kadhaa thanks God tumetoka wote salama.. Ni kigari kizuri space ndani kubwa, kinakula mafuta vizuri changu ni 1.8 CC na kinachanganya fasta.
 
Nimekula nako mzinga juzi kati, kamevingirika mara kadhaa thanks God tumetoka wote salama.. Ni kigari kizuri space ndani kubwa, kinakula mafuta vizuri changu ni 1.8 CC na kinachanganya fasta.
Pole mkuu
 
Sina uzoefu nako sana ila ninachojua kanagear box CVT So ukikanunua usikae nako sana katakutesa maana CVT gear box bongo ni pasua kichwa
Sometimes kama hujui kitu ni Bora unyamaze Tu kwani CVT transmission IPO Kwenye rumion pekeyake?
Kuna Magari mengi mno yanatumia huyo mfumo na hakuna shida yeyote...
Nalitumia sasa ni mwezi wa 4 tokea niwe nalo na sijaona shida yeyote Kwenye transmission
 
Attachments

  • IMG_20201015_165637.jpg
    IMG_20201015_165637.jpg
    221.8 KB · Views: 56
  • IMG_20201024_121048.jpg
    IMG_20201024_121048.jpg
    108.4 KB · Views: 55
Basi tu shape yake naona hainivutii mkuu, kwa nyuma ni kazuri ila usoni kananiboa.
Hiyo facelift yake ilinifanya ninunue Kwa moyo Safi kabisaaa!!
Barabaran inatembea balaa hasa Kwenye kuchanganya mapema iko vizuri Sana au kama mtu wa league njiani unaipa Kwenye sports mode hapo ni sekunde kadhaa Tu Ngoma inacheza Kwenye speed 100
 
Kanachanganya fasta kumbe
 
Hiyo gari ni nzuri sana ila hapo mbele chini ya bampa wameikosea sana kama unapita kwenye barabara mbovu lazima iguse chini , yangu niliifunga sports rim za inch 18 nikajua itakuwa juu lkn wapi niliuza huku naipenda
 
Mkuu ina maana rim size 18 bado ilikuwa chini? Mwenyewe nataka kubadilisha rim niweke za size 17 na tairi size 215 kwasabb kuna jamaa amefunga hiyo size na gari IPO juu pia wengi wanaongezea na spacer ya inch 1
 
Back
Top Bottom