Hizi Toyota Rumion mnazionaje wadau?

Rumion ziko poa Sana hasa Kwenye space yake, performance yake iko poa na inachanganya mapema mno..
kama unataka kununua ni Bora uagize mwenyewe kutoka Japan kuliko kununua hapa bongo maana bei yake iko juu tofauti na uhalisia,hizi ni gari ambazo tunatamba nazo mjini ndiyo maana wafanyabiasha wa Magari wamepandisha bei.

 
Nyuma ina umbo zuri ila mbele ipo kama kambale, Dashboard sijui wamemgeuzia abiria ndio awe anaangalia badala ya dereva
Duniani hatuwezi kupenda kitu kimoja, mwingine anaona gari ya kishamba na mwingine anapigana anunue ni kama vile watu wengi tunaiponda Passo huku mtu mwingine anawaza ataipata lini
 
Kigari kizuri sana hiki.
 
hiyo camera ni simu gani?singsun au itel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…