Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini


Nadhani kuna tafsiri potofu ya neno utakatishaji wa pesa.Pesa aliyoingiziwa mtu kwa kazi unazozifanya haiwezi kuwa utakatishaji wa pesa.Utakatishaji wa pesa lazima “source” yake iwe “si halali”.Ile useme si halali lazima iwe imepatikana ama kwa ajili za magendo,udanganyifu au kwa njia ambazo inavunja sheria za nchi.Pesa ajili ya “kumkosoa mtu”(hata kama ni kweli) inakuaje ni utakatishaji?
 

Hoja yako nini hapa? Kuwa ndani ya mfumo kwa muda mrefu haku-justify unachosema. Mtu anaweza ingia leo akaandika kitu ambacho watu wameshindwa kukisema for decades. Huo ni ufinyu fikra.

Anyway kuna uwezekano wanaompinga wakawa ndio wanufaika, maana alisema kuwa wakishapewa posho zao huwa wanakuja mtandaoni kama Mbogo
 
Mbona ID zote ni member? Hamjajiunga siku nyingi au nyie ni wasomaji tuu leo ndo mmeamua kuchangia
 
Kwa hizo 'hela nyingi' za ghafla serikali hii ingemuacha ? Siku hizi account ya bank ikingizwa 10M tu maswali kibao, seuse hizo 'hela nyingi'. Msiandike vitu kufurahisha baraza, kwenye transactions za pesa hali ni very tight , kama mtu alikutwa na dola 9000 akapewa kesi ya utakatishaji seuse hizo 'hela nyingi' za ghafla!
 
Mbona IDs zinazotoa habari na kuchangia kwa msisitizo ni mpya?
 
Fedha hizi alizokua akiingizwa Kabendera ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais

Hivi ‘mema’ ya Rais yanakwamishwaje kwa kelele za mitandaoni? He has ALL THE POWERS. Bunge lipo kibindoni mwake. Mahakama kaiweka mfukoni. Vyombo vya ulinzi na usalama vina bow kwake. Sasa kelele tu za mitandaoni zitazuiaje utendaji kazi wake?

Naona hii ni narrative inayotengenezwa na serikali iliyoona imeshindwa kutekeleza mambo kwa weledi, tija na ufanisi. Sasa inatafuta kisingizio. Kelele za mitandaoni ndiyo zimekuwa kisingizio.

Donald Trump anasemwa kila sekunde mitandaoni. Ila serikali yake (pamoja na mapungufu makubwa ya baadhi ya sera zake) inasonga mbele kwa record-breaking stats.
 
Sasa sisi tukimuombea, wale wachawi wa Gambushi wafanye nini??? Si wanalipwa kumlinda???
 
Nliona nyumba ya Kabendera kupitia VOA nikawaza sana kwamba hivi waandishi wote wa Habari wa Tz wana maisha kama haya ya Kabendera? Au yeye ana biashara gani nyingine nje ya taaluma yake?

Kiukweli huyu jamaa kuna kitu nyuma ya pazia
 
Kama ushahidi huu upo kwanini mahakamani waseme ushahidi haujakamilika?
 
Umeongopa, wale wana vigezo vya kufanya unyimwe Msaada na hayo mashirika, na alicho kuwa anafanya Kabendera ilikuwa ni kutafuta vigezo hivyo ili wafikie hilo lengo! Sasa Magu wamemuwahi Kabendera. Na bahati mbaya sana hatawaona tena hao mabwana zake.
 
To be honest inawezekana wewe ni moja ya watu walioingia kwenye system kibahati mbaya. Sisi akina ngumbalo hatutegemei arguement za kiboya kabisa kutoka kwa mtu wa kaliba yako. Through your line of arguement nikiwa hapa Mwayaya na kaform four kangu ka 28 kutoka Munanila Sekondary nikisema kutokana na hoja yako ya kuwa the deceased With that connection with Europeans plus that Connection you are proud of that Kanfrag has Internationally, kwamba these two guys were working for them utasemaje. Yaani pamoja na taaluma yako umeshindwa kuwapa your fellas benefit of doubt kuwa inawezekana there was some thing big than what you think and what you have been told. Kumbuka wewe haupo ndani, there alot kwa sasa huyajui. Kuwa amewahi kutumiwa na kitengo haimzui kutumiwa na wengine, after all with these biography of his, he is the kind that wengi wangependa kufanya naye kazi.
Unenishangaza sana, kwa kaliba yako kuargue in a kindergarten outlook!
 
Duh! Sikutarajia kusoma ujinga kiasi hiki.Hayo maneno ya kusingiziwa yatawezaje kumwondoa Rais madarakani? Nakumbuka pia tuna sheria kali sana ya makosa ya mitandao..bado haitoshi kuvikamata hivi vilalahoi na kuvisweka ndani vikome ubishi? Yaani mtu mwenye malengo na anayeweza kutoa milioni 200 kwa mwezi (hatujaambiwa ni kwa miezi mingapi so far) ili ku-fund mission yake, anaweza kuzielekeza kwa watendaji hao uliowataja badala ya kuzipangia mikakati ya maana kufikia mipango yao?

Jipange upya.
 
Umeongopa, wale wana vigezo vya kufanya unyimwe Msaada na hayo mashirika, na alicho kuwa anafanya Kabendera ilikuwa ni kutafuta vigezo hivyo ili wafikie hilo lengo! Sasa Magu wamemuwahi Kabendera. Na bahati mbaya sana hatawaona tena hao mabwana zake.
Kwani kama hivyo vigezo vipo, kuna sababu gani ya kumchukia anayevionyesha? Ninyi ndio mnajiangalia kwenye kioo ukiona uso una tope au pua zina kamasi, macho yana tongotongo basi unaamua kuvunja kioo kwa kuwa kimekudhalilisha. safisha uso wako! Maana kama hayo madhaifu yapo, hata asipokuwa Kabenfera mwingine atayabainisha, na hata wao wanayaona. au unadhani hapa nchini hakuna mabeberu? Tunao mabalozi wa nchi mabeberu hapa kwetu, na tunayo mashirika na makampuni toka nchi za mabeberu hapa. Hivyo mnavyoficha hawatashindwa kuviona na kuvitumia kama wanataka. Rekebisheni njia zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…