thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Lets destroy them accordinglyAfrica kuna corrupt journalists wengi sana .. aina ya kabendera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lets destroy them accordinglyAfrica kuna corrupt journalists wengi sana .. aina ya kabendera
Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.
Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ
Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..
Baada ya kunyimwa Tenda na serikali ya awamu ya 5 kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu yalianzisha jitihada za makusudi za kumkwamisha Rais JPM na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.
Lengo lao kubwa ni kuhakksha Rais anapoteza imani kwa wananch wake na hadh yake ya urais inayeyuka na baadaye anawekwa mtu wao.
Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhiri.
Mifumo hii ya ulipaji iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kibendera Na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia) Kazi kubwa ya Kibendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali ,
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya, Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani 95000 ambazo ni takribani milioni 200 Za kitanzania na zaidi. Fedha hizi alizokua akiingizwa Kabendera ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais
Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania). Baada ya kupokea bahasha za tunu wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .
Vijana ambao ndo wengi wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa huweka data huingia online na kuanza kumtusi,Kejel,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.
Wengi wanafanya sababu ya njaa hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani
Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa na nchi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua destruri hapo kabla.
Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla.
2. Uraia!!?!! Endelea utueleze uraia wake au futa madai hayo.
Ubongo uliojaa kamasi huja na pumba za kipumbavu ,ngongoti 2000 ubongo wako umejaa kamasi,pinga kwa hoja uonekane huna kamasi ndani ya ubongo wakopumba za kipumbavu
Wa kwanza huyoBado sija shawishika kuamini ulichokiandika.
Kwa hizo 'hela nyingi' za ghafla serikali hii ingemuacha ? Siku hizi account ya bank ikingizwa 10M tu maswali kibao, seuse hizo 'hela nyingi'. Msiandike vitu kufurahisha baraza, kwenye transactions za pesa hali ni very tight , kama mtu alikutwa na dola 9000 akapewa kesi ya utakatishaji seuse hizo 'hela nyingi' za ghafla!Sijui kuhusu huyo uliyemtaja lakini kuna mtu ambaye ni kama rafiki kwangu aliniambia yupo in dillema kwa sababu amefuatwa na watu wa nje kumuhaidi hela nyingi ili kuandika tafiti na makala za kuchafua serikali. Ni mtu aliyekuwa hata kulipa kodi ya nyumba huko tegeta ilikuwa inakua shida sana. Lakini ndani ya miezi mitatu akamaliza nyumba yake iliyomchukua miaka sita kumaliza. Akanunua magari mawili. Akaoa mke na wakaenda in an exotic island for honeymoon etc. Nilikuwa siamini haya mambo aisee, ila yapo sana. Watu wanakua wabinafsi na myopic sana na kukosa uzalendo.
Fedha hizi alizokua akiingizwa Kabendera ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais
Sasa sisi tukimuombea, wale wachawi wa Gambushi wafanye nini??? Si wanalipwa kumlinda???Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.
Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ
Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..
Baada ya kunyimwa Tenda na serikali ya awamu ya 5 kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu yalianzisha jitihada za makusudi za kumkwamisha Rais JPM na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.
Lengo lao kubwa ni kuhakksha Rais anapoteza imani kwa wananch wake na hadh yake ya urais inayeyuka na baadaye anawekwa mtu wao.
Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhiri.
Mifumo hii ya ulipaji iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kibendera Na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia) Kazi kubwa ya Kibendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali ,
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya, Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani 95000 ambazo ni takribani milioni 200 Za kitanzania na zaidi. Fedha hizi alizokua akiingizwa Kabendera ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais
Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania). Baada ya kupokea bahasha za tunu wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .
Vijana ambao ndo wengi wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa huweka data huingia online na kuanza kumtusi,Kejel,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.
Wengi wanafanya sababu ya njaa hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani
Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa na nchi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua destruri hapo kabla.
Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla.
Tafakari kabla hujachangia, Tanzania ni Nchi yetu tunapashwa kuilinda kwa gharama yoyote, kama wageni wanaona mema yanayofanyika, na hata sisi wengine tunaona, kubeza uzi huu ni kujitoa akili. Mungu akusamehe.Takataka.
Umeongopa, wale wana vigezo vya kufanya unyimwe Msaada na hayo mashirika, na alicho kuwa anafanya Kabendera ilikuwa ni kutafuta vigezo hivyo ili wafikie hilo lengo! Sasa Magu wamemuwahi Kabendera. Na bahati mbaya sana hatawaona tena hao mabwana zake.Acha kuleta habari za kizushi
Kabendera kaanza kufanya kazi za uandishi kwenye maagazeti ya nje toka enzi za JK
Mabeberu wakitaka kumhujumu JPM hawana shida ya kujisumbua, wanayo IMF na World bank, wana uwezo wa kumfanya asiuze nje bidhaa wala kupata msaada wowote wala mkopo wowote
Kwa hiyo acha stori zako za kijiweni
To be honest inawezekana wewe ni moja ya watu walioingia kwenye system kibahati mbaya. Sisi akina ngumbalo hatutegemei arguement za kiboya kabisa kutoka kwa mtu wa kaliba yako. Through your line of arguement nikiwa hapa Mwayaya na kaform four kangu ka 28 kutoka Munanila Sekondary nikisema kutokana na hoja yako ya kuwa the deceased With that connection with Europeans plus that Connection you are proud of that Kanfrag has Internationally, kwamba these two guys were working for them utasemaje. Yaani pamoja na taaluma yako umeshindwa kuwapa your fellas benefit of doubt kuwa inawezekana there was some thing big than what you think and what you have been told. Kumbuka wewe haupo ndani, there alot kwa sasa huyajui. Kuwa amewahi kutumiwa na kitengo haimzui kutumiwa na wengine, after all with these biography of his, he is the kind that wengi wangependa kufanya naye kazi.Hii ni post ya tatu sasa kuhusu Eric, ambayo kama mbili zilizotangulia ni uthibitisho mwingine kuwa Idara yetu ya Usalama wa Taifa imeshiwa kabisa na mbinu kiasi cha kuwategemea vichwapanzi wa MATAGA kuja kufanya porojo mtandaoni.
Ukweli kuhusu Eric upo wazi: anadhaniwa kuwa na nyaraka zilizopelekea mauaji ya kinyama ya Injinia Mwijabe - ambaye watu wa Kitengo wakiongozwa na Nyaulingo walimteka, wakamtesa, wakambaka kisha wakamuua. Wakati hayo yanatokea, Eric alikuwa ameitwa Dodoma kubanwa kuhusu "nyaraka alizopewa na marehemu Mwijabe."
Kwanini nyaraka hizo zimepelekea Mwijabe kuuawa na Eric kukamatwa? Ili kuelewa suala hili unapaswa kufahamu wadhifa wa marehemu hapo Hazina. Alikuwa kitengo cha EU ambacho pamoja na mambo mengine kinaratibu fedha za misaada kutoka EU.
Sasa hii ni siri ya wazi kwamba kuna ufisadi mkubwa unaoendelea hapo hazina ambapo yule mpwa wa Mzee Meko anafisadi pesa atakavyo kwa vile licha ya kuwa mpwa wa Meko, pia alimwaga pesa zake nyingi kwenye kampeni ya mwaka 2015, pesa alizofisadi TANROADS wakati Mjomba wake akiwa Waziri wa Ujenzi.
Marehemu Mwijabe na Eric walikuwa partners katika kampuni binafsi ya usadi (consulting).
Wanamshikilia Eric kwa sababu moja kuu: hawajafanikiwa kupata hizo nyaraka ambazo zilikuwa zifikishwe kwa nchi na taasisi mbalimbali wahisani, zikionyesha kinagaubaga jinsi fedha zao zinavyofisadiwa hapo Hazina.
No wonder Marekani, Uingereza na Canada zimeshaonyesha kukerwa kwao na uonevu anaofanyiwa Eric. Siku chache zijazo, EU inatarajiwa kutoa msimamo wake kuhusu suala hilo.
Tuweke hayo kando. Mtoa mada aeleze kwamba kama Eric alikuwa "mhaini" anayetumiwa na Mabeberu, kwanini Idara ya Usalama wa Taifa ilikuwa ina-outsource analyses ya taarifa mbalimbali kwa mwandishi huyo? Tunalazimika kuweka hadharani siri hizi kwa sababu sio uungwana hata kidogo "kumtumia" kisha kumchafua. Eric hakutumiwa na Idara kwa sababu ya pesa bali (a) he is extremely intelligent (b) has extensive international connections (c) UZALENDO wake (he used to be in the army kabla ya kuwa mwanahabari).
Tukiweka hilo kando, kama Eric alikuwa "mhaini" kwanini mara kadhaa Mzee Meko aliagiza taarifa kutoka kwa mwanahabari huyo?
Lakini kubwa zaidi, iweje "uhaini" wa Eric uje mara tu baada ya mshirika wake Mwijabe kutekwa, kuteswa, kubakwa na hatimaye kuuawa na Nyaulingo na wenzake? Why now?
Na kama tuhuma hizo za kipuuzi zingekuwa za kweli, kwanini kwanza ilielezwa kuwa Eric amekamatwa kuhusiana na immigration status yake kisha ikadaiwa ni cybercrime kabla ya kumbadilishia kesi na kudai ni mhujumu wa uchumi?
Tell you what, nyote safari yenu ni moja kama ya Nyaulingo. Ni suala muda tu. View attachment 1185731
Duh! Sikutarajia kusoma ujinga kiasi hiki.Hayo maneno ya kusingiziwa yatawezaje kumwondoa Rais madarakani? Nakumbuka pia tuna sheria kali sana ya makosa ya mitandao..bado haitoshi kuvikamata hivi vilalahoi na kuvisweka ndani vikome ubishi? Yaani mtu mwenye malengo na anayeweza kutoa milioni 200 kwa mwezi (hatujaambiwa ni kwa miezi mingapi so far) ili ku-fund mission yake, anaweza kuzielekeza kwa watendaji hao uliowataja badala ya kuzipangia mikakati ya maana kufikia mipango yao?Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.
Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ
Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..
Baada ya kunyimwa Tenda na serikali ya awamu ya 5 kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu yalianzisha jitihada za makusudi za kumkwamisha Rais JPM na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.
Lengo lao kubwa ni kuhakksha Rais anapoteza imani kwa wananch wake na hadh yake ya urais inayeyuka na baadaye anawekwa mtu wao.
Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhiri.
Mifumo hii ya ulipaji iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kibendera Na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia) Kazi kubwa ya Kibendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali ,
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya, Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani 95000 ambazo ni takribani milioni 200 Za kitanzania na zaidi. Fedha hizi alizokua akiingizwa Kabendera ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais
Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania). Baada ya kupokea bahasha za tunu wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .
Vijana ambao ndo wengi wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa huweka data huingia online na kuanza kumtusi,Kejel,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.
Wengi wanafanya sababu ya njaa hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani
Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa na nchi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua destruri hapo kabla.
Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla.
Kwani kama hivyo vigezo vipo, kuna sababu gani ya kumchukia anayevionyesha? Ninyi ndio mnajiangalia kwenye kioo ukiona uso una tope au pua zina kamasi, macho yana tongotongo basi unaamua kuvunja kioo kwa kuwa kimekudhalilisha. safisha uso wako! Maana kama hayo madhaifu yapo, hata asipokuwa Kabenfera mwingine atayabainisha, na hata wao wanayaona. au unadhani hapa nchini hakuna mabeberu? Tunao mabalozi wa nchi mabeberu hapa kwetu, na tunayo mashirika na makampuni toka nchi za mabeberu hapa. Hivyo mnavyoficha hawatashindwa kuviona na kuvitumia kama wanataka. Rekebisheni njia zenu.Umeongopa, wale wana vigezo vya kufanya unyimwe Msaada na hayo mashirika, na alicho kuwa anafanya Kabendera ilikuwa ni kutafuta vigezo hivyo ili wafikie hilo lengo! Sasa Magu wamemuwahi Kabendera. Na bahati mbaya sana hatawaona tena hao mabwana zake.