Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.
Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ

Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..

Baada ya kunyimwa Tenda na serikali ya awamu ya 5 kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu yalianzisha jitihada za makusudi za kumkwamisha Rais JPM na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.

Lengo lao kubwa ni kuhakksha Rais anapoteza imani kwa wananch wake na hadh yake ya urais inayeyuka na baadaye anawekwa mtu wao.

Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhiri.
Mifumo hii ya ulipaji iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kibendera Na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia) Kazi kubwa ya Kibendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali ,
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya, Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani 95000 ambazo ni takribani milioni 200 Za kitanzania na zaidi. Fedha hizi alizokua akiingizwa Kabendera ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais

Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania). Baada ya kupokea bahasha za tunu wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .

Vijana ambao ndo wengi wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa huweka data huingia online na kuanza kumtusi,Kejel,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.

Wengi wanafanya sababu ya njaa hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani

Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa na nchi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua destruri hapo kabla.

Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla.

Jitu liongo kama mbweha!

No evidence of any kind!

Liserikali ni jitu kama tembo linaonea kasisimizi bila huruma!

Majinga ni majinga!

Na sisi si watoto,mnapoteza muda wenu kuandika upumbavu humu wa kipropaganda!

Jinga kabisa!
 
Asee very low story ikiwa unashindwa kumtaja huyo mwinge hata hayo makampuni hii habari yako itakuwa rubish ni mwehu tu anaweza kuamini huu uzushi wako
 
Absolutely trash
 
Sijui kuhusu huyo uliyemtaja lakini kuna mtu ambaye ni kama rafiki kwangu aliniambia yupo in dillema kwa sababu amefuatwa na watu wa nje kumuhaidi hela nyingi ili kuandika tafiti na makala za kuchafua serikali. Ni mtu aliyekuwa hata kulipa kodi ya nyumba huko tegeta ilikuwa inakua shida sana. Lakini ndani ya miezi mitatu akamaliza nyumba yake iliyomchukua miaka sita kumaliza. Akanunua magari mawili. Akaoa mke na wakaenda in an exotic island for honeymoon etc. Nilikuwa siamini haya mambo aisee, ila yapo sana. Watu wanakua wabinafsi na myopic sana na kukosa uzalendo.
Hujui ukioneaacho pia humjui vema alikwambia ni muongo wa kutupwa ila kwakuwa mnaajenda ya kudhoofisha mnatengeneza story
 
Kama ulichoa dika kina ukweli nashawishika kusema vyombo vyetu vya usalama ni bure.
Jambo hili lingeshughulikiwa kwa weledi uliotukuka hadi yeye na genge lake na wanaomtumia wafurahi
Lakini sasa sijui kwakuwa maofisa wetu huwa wale failure skuli
Kama ni uongo serkali na vyombo vyake wanatenda jambo hatarishi
 
Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.

Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ

Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..

Baada ya kunyimwa Tenda na serikali ya awamu ya 5 kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu yalianzisha jitihada za makusudi za kumkwamisha Rais JPM na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.

Lengo lao kubwa ni kuhakksha Rais anapoteza imani kwa wananch wake na hadh yake ya urais inayeyuka na baadaye anawekwa mtu wao.

Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhiri.
Mifumo hii ya ulipaji iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kibendera Na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia) Kazi kubwa ya Kibendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali ,
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya, Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani 95000 ambazo ni takribani milioni 200 Za kitanzania na zaidi. Fedha hizi alizokua akiingizwa Kabendera ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais

Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania). Baada ya kupokea bahasha za tunu wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .

Vijana ambao ndo wengi wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa huweka data huingia online na kuanza kumtusi,Kejel,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.

Wengi wanafanya sababu ya njaa hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani

Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa na nchi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua destruri hapo kabla.

Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla.
Hovyooooo
 
Nonsense! Teuzi zishaisha sasa hivi, umechelewa
 
Popomo
 
Akili za MaCCM hata paka hawezi kuwa nazo!

Sasa hapo ndo umepoteza data kweli kuandika upupu huu na unajiipiga kifua hapo ulipo eti umejenga hoja?

Yaani kwa akili hizi ni halali Jeshi la Polisi kukisaidia CCM!
 
Taifa fulani mtu kama huyo angekuwa ameshaoza zaman sana. Ndio maana lile. Kundi limepunguwa? Asante sana bado mmoja.
 
Wanahakikisha wanakwamisha juhudi zote za mheshimiwa kupitia mitandaoni!!!?

Kama kazi anazofanya zinaonekana hofo ya kukwamishwa kelele tupu za maandishi ya mitandaoni inatokea wapi?
 
Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.

Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ

Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..

Baada ya kunyimwa Tenda na serikali ya awamu ya 5 kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu yalianzisha jitihada za makusudi za kumkwamisha Rais JPM na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.

Lengo lao kubwa ni kuhakksha Rais anapoteza imani kwa wananch wake na hadh yake ya urais inayeyuka na baadaye anawekwa mtu wao.

Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhiri.
Mifumo hii ya ulipaji iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kibendera Na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia) Kazi kubwa ya Kibendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali ,
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya, Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani 95000 ambazo ni takribani milioni 200 Za kitanzania na zaidi. Fedha hizi alizokua akiingizwa Kabendera ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais

Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania). Baada ya kupokea bahasha za tunu wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .

Vijana ambao ndo wengi wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa huweka data huingia online na kuanza kumtusi,Kejel,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.

Wengi wanafanya sababu ya njaa hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani

Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa na nc hi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua destruri hapo kabla.

Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla.
Haya yote ulikuwa unayajua. Uliamua kunyamaza kwa faida ya nani? Mzalendo unajiita! Ulikuwa unanufaika, si bure. Mambo yameparaganyika. Pay master halioni jua.
Nani anaweza kuamini stori hafifu kama hii. Nenda shule ukajifunze logic. Hapa hamna kitu. Hiki ni kiwango cha kkk! Muda mrefu anafanya hayo mnaangalia tu. Hamuoni aibu kudai mlikuwa mnakusanya data! Si mnazo tayari! Hakimu angejulishwa kukamilika kwa upelelezi. Kesi kama si leo kesho ingeanza. Kinyume chake ndicho mmeweza. Upelelezi bado. Tutasikia mengi. Faili limemtembelea DPP. Likitoka huko linajificha kupumzika. Faili halionekani. Likionekana hakimu hayupo. Ana udhuru. Wakichoka au kuona aibu, DPP anatangaza kukosa nia ya kuendelea na shauri. Nolle Proseque!
 
Unapomwambia mtoa mada ni muongo, yakupasa wewe ueleze ukweli juu ya jambo unalolibishia.

Ila hizi fujo za kuzomea, "muongo" bila kiunganishi cha neno, ninapata dhana kuwa yasemwayo na mwandishi yana ukweli, kwamba ....'wanapewa fedha za vocha na kuwa kama mbogo aliyejeruhiwa na kuanza kutukana na humu jf wamo....'
 
Back
Top Bottom