baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Mar 18, 2026 #1 Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
S Steven Joel Ntamusano JF-Expert Member Joined Jun 17, 2023 Posts 9,414 Reaction score 6,029 Mar 18, 2026 #2 Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya. Watanzania tuna uwezo mkubwa wa kuwapa mbwa wetu majina mabaya.