Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajichanganya sana hawa jamaa na tuzo zao iziYupo pale juu na kuambo flani si haba
Usiku sahivi watu tuwahi kulala😂Tff waliangalie utoaji gani huu wa tuzo mbiombio kama mwenge
Wanakera sana hasa huyo mdada, kinatangazwa kingine yeye anarukia kingine.Aibu sana hadi wanapeana banter za "acha uoga"