Hizi tuzo zinaenda fasta kama vyeti vya form kwenye mahafali

Hizi tuzo zinaenda fasta kama vyeti vya form kwenye mahafali

Ni tabu tupuu...kila kitu watu wanataka kupiga hela...wachezaji wengi hawapo kwny tuzo..wamepokelewa hili nalo linaondo mvuto aisee
Tena inaonesha walioenda kuchukua hata hawana uhusiano na mchezaji Wala team ni kama unaenda unachukua Kisha unarudisha kwa tff
Kisha tuzo ya mfungaji Bora hata sio kiatu wanazidiwa na kombe la bona kalua
 
Ni upuuzi tuu kwakweli...TFF wanakula tuu hela za clubs...hawaboreshi lolote...
 
Ni upuuzi tuu kwakweli...TFF wanakula tuu hela za clubs...hawaboreshi lolote...
Wanajisifia kuboresha mashindano na mpira wakati ukweli kazi kubwa imefanywa na Hawa ma don kwenye vilabu na mzee Tenga pale BMT
 
Hizi tuzo Kuna matukio naangalia Hadi Mimi niliyekaa nyumbani kwenye TV naona aibu kha!!
Ngoja tumuangalie aziz na escorter wake the Dome wamekosa hata kuweka round table watu wanakaa kama form four B
 
Hahahahah ukiona hivyo hazina msisimko...😀😀😀
Uliona wapi tuzo za msimu uliopita zinatolewa karibu na tarehe ya msimu mpya? Wenzetu hata kabla au match za mwisho wa msimu wanagawa na tuzo kabisa ili team zikajiandae na msimu mpya, huku hadi mshindi wa tatu imewekewa fainali 😃
 
😂😂😂imagine umepewa tuzo Kisha unanyang'anywa🙌🙌🙌🙌
 
Ngoja tumuangalie aziz na escorter wake the Dome wamekosa hata kuweka round table watu wanakaa kama form four B
I was thinking the same thing hata round table,
Escoter wa Aziz anajua kujiposition haswa
 
Sidhani kama ishu ni kujiandaa bali ni makusudi kwavile timu ya Yanga ndio iliyo dominate kwenye vitu vingi, hivyo kupendezesha shughuli ni kuwapendezeshea Yanga. Msimu wote top scorers wanapewa kiatu leo kinatolewa vitu vya ajabu kabisa. Halafu tuzo zote muundo unafanana si bora wangeacha tu. Wanafanya kama wamelazimishwa
 
Back
Top Bottom