Hizi Vanguards zimekuwa nyingi sana

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Hii gari imekuwa kila kona ya mji imekuja kwa wingi namba E kuna nini huko wajuzi tuambieni
 
1.Neema ya Mama.
2.Ubovu wa barabara kila mtu anataka kukaa juu kukwepa mahandaki.
3. NEEMA YA CCM.
 
Dalili njema kwamba pesa zimerudi mtaani
 
Dp world imeanza kupunguza gharama za ku import
 
Nina 350G L PACKAGE ALCANTARA PRIME V DBA-GSU30W

Mkuu mambo madogo sana haya
Vijana mnashida sana,Sijui ni Ushamba au Ulimbukeni!.

Yaani 350G nayo unaita gari?

Yaani hiyo 350G uifananishe na Vangurd kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…