Hizi vits za cc 990 zina matatizo gani?

Hizi vits za cc 990 zina matatizo gani?

Wakuu napenda Sana Vits new Sasa kangu kalichemka nikapiga pass head na block kwa Sasa kapo poa no heat je naweza funga Safari Tanga to Mbeya bila shida ya heat njiani? Karibuni wakuu
 
Weeee hako kagar katachemsha njian tena usipokuwa makin Kitonga hupandishi
 
Wacha hizo story wewe!! Nimetemebelea vitz sana, Mbeya Arusha, Iringa DSM, Iringa Arusha.
Safari niliyojua hakitafika ni ArushA Mtwara bila kupumzika DSM, kilifika na siku mbili baadae nikageuza Arusha!!

Full kipupwe!! Labda hiyo yake iwe na jambo tu ila vigari vigumu mnooo

Kote huko hakuna kilima ilishindwa
 
Yako piston ngapi mkuu?
 
Nne, CC990!! Kikubwa hivi vibaby walker zingatia service!

Kikiwa na shida ndogo tu, utakachukia!!
Noted mkuu Mimi changu nikiona kasoro kidogo tu fasta check up hapa nataka nimwage maji niflash rejeta na kuweka coolant maandalizi mdogo mdogo nipime allignment nisepe by 7 Dec 2020
 
Wacha hizo story wewe!! Nimetemebelea vitz sana, Mbeya Arusha, Iringa DSM, Iringa Arusha.
Safari niliyojua hakitafika ni ArushA Mtwara bila kupumzika DSM, kilifika na siku mbili baadae nikageuza Arusha!!

Full kipupwe!! Labda hiyo yake iwe na jambo tu ila vigari vigumu mnooo

Kote huko hakuna kilima ilishindwa
Vipi ulaji wake wa mafuta,lita 1 inatembea wastani wa km ngapi?
 
Hiyo mi sijui kwa kweli, mi ninachojua Lindi DSM ukitembea kwa wastani wa 80kph haizidi lita 25! Hapo ni full kipupwe mwanzo mwisho
 
Noted mkuu Mimi changu nikiona kasoro kidogo tu fasta check up hapa nataka nimwage maji niflash rejeta na kuweka coolant maandalizi mdogo mdogo nipime allignment nisepe by 7 Dec 2020
Kiasi gani ilikugharimu kuflash rejeta na kujaza coolant mpya? Rejeta ilikua na kutu tayari?
 
Tsh. 20,000/- but nikiwa na maandalizi watu walivua kwa bei tamu kidogo now natembea kwa miguu mpaka viatu vinaenda upande
 
Sijakusoma hapo mwisho...
Watu walivua nini... Unatembea upande unamaanisha unaumwa?
Kwamba umeuza gari?
 
Yeah hako ka engine ka cc990 ni 1KR kapo pia kwenye passo. Binafsi nimekuelewa sasa, kwahio gari itakuwa inatweta sana yani ukiipigisha masafa?
Ukienda Masafara Unatakiwa Kukumbuka Mambo Ya Primary
Simama....Kaa...Ruka...Ruka...Simama...Kaa...
Kimbia....Tembea...Simama...Kaa....

Uwe Na Kamba Tayari Kupewa Msaada Wa Kuvutwa
Uwashe A/C, Taa, Horn......Haaa
 
Yeah hako ka engine ka cc990 ni 1KR kapo pia kwenye passo. Binafsi nimekuelewa sasa, kwahio gari itakuwa inatweta sana yani ukiipigisha masafa?
Hapana aisee IKR siyo injini nzuri yan ni bora ISZ ngumu na inavumilia shida
 
Wakuu napenda Sana Vits new Sasa kangu kalichemka nikapiga pass head na block kwa Sasa kapo poa no heat je naweza funga Safari Tanga to Mbeya bila shida ya heat njiani? Karibuni wakuu
Usije ukajaribu utaiua iyo gari...
 
Back
Top Bottom