Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Wakuu napenda Sana Vits new Sasa kangu kalichemka nikapiga pass head na block kwa Sasa kapo poa no heat je naweza funga Safari Tanga to Mbeya bila shida ya heat njiani? Karibuni wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeee hako kagar katachemsha njian tena usipokuwa makin Kitonga hupandishiWakuu napenda Sana Vits new Sasa kangu kalichemka nikapiga pass head na block kwa Sasa kapo poa no heat je naweza funga Safari Tanga to Mbeya bila shida ya heat njiani? Karibuni wakuu
Wacha hizo story wewe!! Nimetemebelea vitz sana, Mbeya Arusha, Iringa DSM, Iringa Arusha.Weeee hako kagar katachemsha njian tena usipokuwa makin Kitonga hupandishi
Yako piston ngapi mkuu?Wacha hizo story wewe!! Nimetemebelea vitz sana, Mbeya Arusha, Iringa DSM, Iringa Arusha.
Safari niliyojua hakitafika ni ArushA Mtwara bila kupumzika DSM, kilifika na siku mbili baadae nikageuza Arusha!!
Full kipupwe!! Labda hiyo yake iwe na jambo tu ila vigari vigumu mnooo
Kote huko hakuna kilima ilishindwa
Nne, CC990!! Kikubwa hivi vibaby walker zingatia service!Yako piston ngapi mkuu?
Noted mkuu Mimi changu nikiona kasoro kidogo tu fasta check up hapa nataka nimwage maji niflash rejeta na kuweka coolant maandalizi mdogo mdogo nipime allignment nisepe by 7 Dec 2020Nne, CC990!! Kikubwa hivi vibaby walker zingatia service!
Kikiwa na shida ndogo tu, utakachukia!!
Vipi ulaji wake wa mafuta,lita 1 inatembea wastani wa km ngapi?Wacha hizo story wewe!! Nimetemebelea vitz sana, Mbeya Arusha, Iringa DSM, Iringa Arusha.
Safari niliyojua hakitafika ni ArushA Mtwara bila kupumzika DSM, kilifika na siku mbili baadae nikageuza Arusha!!
Full kipupwe!! Labda hiyo yake iwe na jambo tu ila vigari vigumu mnooo
Kote huko hakuna kilima ilishindwa
Hiyo mi sijui kwa kweli, mi ninachojua Lindi DSM ukitembea kwa wastani wa 80kph haizidi lita 25! Hapo ni full kipupwe mwanzo mwishoVipi ulaji wake wa mafuta,lita 1 inatembea wastani wa km ngapi?
Kiasi gani ilikugharimu kuflash rejeta na kujaza coolant mpya? Rejeta ilikua na kutu tayari?Noted mkuu Mimi changu nikiona kasoro kidogo tu fasta check up hapa nataka nimwage maji niflash rejeta na kuweka coolant maandalizi mdogo mdogo nipime allignment nisepe by 7 Dec 2020
Tsh. 20,000/- but nikiwa na maandalizi watu walivua kwa bei tamu kidogo now natembea kwa miguu mpaka viatu vinaenda upandeKiasi gani ilikugharimu kuflash rejeta na kujaza coolant mpya? Rejeta ilikua na kutu tayari?
Sijakusoma hapo mwisho...Tsh. 20,000/- but nikiwa na maandalizi watu walivua kwa bei tamu kidogo now natembea kwa miguu mpaka viatu vinaenda upande
Ukienda Masafara Unatakiwa Kukumbuka Mambo Ya PrimaryYeah hako ka engine ka cc990 ni 1KR kapo pia kwenye passo. Binafsi nimekuelewa sasa, kwahio gari itakuwa inatweta sana yani ukiipigisha masafa?
Walipenda chombo nikawauzia now nipo kwa usafiri wa Allah viatu vyaisha soli tuSijakusoma hapo mwisho...
Watu walivua nini... Unatembea upande unamaanisha unaumwa?
Kwamba umeuza gari?
Hapana aisee IKR siyo injini nzuri yan ni bora ISZ ngumu na inavumilia shidaYeah hako ka engine ka cc990 ni 1KR kapo pia kwenye passo. Binafsi nimekuelewa sasa, kwahio gari itakuwa inatweta sana yani ukiipigisha masafa?
Usije ukajaribu utaiua iyo gari...Wakuu napenda Sana Vits new Sasa kangu kalichemka nikapiga pass head na block kwa Sasa kapo poa no heat je naweza funga Safari Tanga to Mbeya bila shida ya heat njiani? Karibuni wakuu