Hizi wiki za mimba ni sawa au nesi kakosea calculation

Hesabu kuanzia siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho.

Mwanao atazaliwa siku yoyote kati ya August 21 hadi September 18; most preferably September 04, 2023.

Hongera sana, mkuu.
 
Ni mke na taarifa za mke zipo sahihi kabisa ila nesi ndio sikumsoma mana hata mimi sikusoma unesi lakin naona kabisa kachanganya madesa.

Sehemu za kutafutia ugali masiku haya anakaa mtu yeyote
 
Anza kuhesabu mara ya mwisho kuingia kwenye siku zake utamuelewa nesi.
 
Mpeleke akafanye ultrasound ujiridhishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…