Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi shemeji ana GA ya week 6 tulia kaka@spidernyoka acha masihara aiseee ,siwez kulambwa hata chembe sijao olea tako .
Anza tarahe ya mwisho aliyoanza period ya mwisho ambayo ni tarehe 28. Wewe kwanini umeanzia tarehe 8?
Tunahesabu kwanzia mara ya mwisho kuingia period.
Ni mke na taarifa za mke zipo sahihi kabisa ila nesi ndio sikumsoma mana hata mimi sikusoma unesi lakin naona kabisa kachanganya madesa.
Anza kuhesabu mara ya mwisho kuingia kwenye siku zake utamuelewa nesi.Jamii forum imesheheni watu wengi wa caliber tofauti kuna madaktar humu
Ipo hivi last salary kwa wife ilikuwa ilikuwa tar 28 mwezi wa 11 then kamaliza net pay tar 2 mwezi wa 12 ,
Sasa kimenishangaza baada ya kuona dalili zote kuwa ni mjamzito ,kaenda hospital kuanza clinic ambayo kaenda tar 23 mwezi wa kwanza ila kule nesi kaandika
Kuwa ujauzito ni wiki 8
Sasa najiuliza hizi wiki nane zimefikaje hapa
Mbona kama mahesabu hayaendi sawa
Katumia kikokotoo gani ?
Au kuna njia gani zinatumika kujua umri wa mimba kwa makadio.?
Then kamuandikia expectation ni tar 4.9.023
Je yupo sahihi au kakosea ?
Mana tangia kumaliza tar 2 mwezi wa 12 hadi tar 23 mwezi wa kwanza bado hata miezi miwili haijafika lakin kule nesi kaandika wiki 8 ambazo ni sawa na miezi miwili??..
Wajuvi mnasemaje?
@Sang'udi ebhana mule muleHesabu kuanzia siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho.
Mwanao atazaliwa siku yoyote kati ya August 21 hadi September 18; most preferably September 04, 2023.
Hongera sana, mkuu.
View attachment 2499914
Hongera sana, kaka. 👏@Sang'udi ebhana mule mule
Umetisha.!!!