Hizi wiki za mimba ni sawa au nesi kakosea calculation

Hizi wiki za mimba ni sawa au nesi kakosea calculation

Hesabu kuanzia siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho.

Mwanao atazaliwa siku yoyote kati ya August 21 hadi September 18; most preferably September 04, 2023.

Hongera sana, mkuu.
Screenshot_20230130_091715_Chrome.jpg
 
Ni mke na taarifa za mke zipo sahihi kabisa ila nesi ndio sikumsoma mana hata mimi sikusoma unesi lakin naona kabisa kachanganya madesa.

Sehemu za kutafutia ugali masiku haya anakaa mtu yeyote
 
Jamii forum imesheheni watu wengi wa caliber tofauti kuna madaktar humu

Ipo hivi last salary kwa wife ilikuwa ilikuwa tar 28 mwezi wa 11 then kamaliza net pay tar 2 mwezi wa 12 ,

Sasa kimenishangaza baada ya kuona dalili zote kuwa ni mjamzito ,kaenda hospital kuanza clinic ambayo kaenda tar 23 mwezi wa kwanza ila kule nesi kaandika
Kuwa ujauzito ni wiki 8

Sasa najiuliza hizi wiki nane zimefikaje hapa
Mbona kama mahesabu hayaendi sawa
Katumia kikokotoo gani ?

Au kuna njia gani zinatumika kujua umri wa mimba kwa makadio.?

Then kamuandikia expectation ni tar 4.9.023

Je yupo sahihi au kakosea ?

Mana tangia kumaliza tar 2 mwezi wa 12 hadi tar 23 mwezi wa kwanza bado hata miezi miwili haijafika lakin kule nesi kaandika wiki 8 ambazo ni sawa na miezi miwili??..

Wajuvi mnasemaje?
Anza kuhesabu mara ya mwisho kuingia kwenye siku zake utamuelewa nesi.
 
Mpeleke akafanye ultrasound ujiridhishe
 
Back
Top Bottom