Hizi wilaya zinazidi makao makuu ya mkoa

Hizi wilaya zinazidi makao makuu ya mkoa

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Katoro kubwa kuliko Geita we muongo
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Kaliua Kwa Tabora!?..unazijua hizo sehemu!?..Mara mia ungesema Nzega Kwa Tabora,Dodoma mwaka 2006 ilikua haiifiki Nzega Kwa ukubwa na uzuri,mji wa Tabora ukipenyo Cha 25km toka magharibi Hadi mashariki
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Hiyo Kaliua kubwa kuliko Tabora mjini ni Kaliua ya wapi?
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Kama ni hivyo makao makuu ya mkoa yahamie huko kwenye miji mikubwa
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Katibiwe wewe, Kaliua kile kijiji kizidi Tabora haiwezi kuizidi hata Urambo
 
Back
Top Bottom