Hizi wilaya zinazidi makao makuu ya mkoa

Hizi wilaya zinazidi makao makuu ya mkoa

Umekosea bora ungesema
Nzega kubwa kuliko tabora.
Tunduma kubwa kuliko songwe.
Kahama kubwa kuliko shinyanga.
Makambako kubwa kuliko njombe
 
Hata Nzega haijaipiku Tabora mkuu
Yeah nilikua huko juzi baada ya miaka mingi,mji wa tabora umepanuka hasa upande wa magharibi lakini hata mashariki,Ila nzega nayo imekua Sana aisee,nzega ya 1995 na ya Leo ni mbingu na nchi
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Huo utakuwa Upuuzi
Mafinga ipi Yakuishinda Singida?
Kaliua Upuuzi mtupu Kibarabara Kimoja
Nyumba Zimejengwa hovyo hovyo
Ni Kaeneo Kadogo Sana
Yaani Kaliua 3 Ndio Unaipata Urambo
iweje Tabora
Labda Kahama na Shinyanga Kiasi
Na Tunduma
 
Mleta mada, amekosea kote isipokuwa kwa Kahama kuwa kubwa kuliko Shinyanga, na sababu zipo wazi.
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Kwani maana ya mkoa ni lazima iwe kubwa kuliko wilaya?? Mkoa ni admistration point ya serikali yetu kuu.

Japo hapo nakukatalia kwa Mafinga, Na katoro...nakubali kwa makambako, Kahama...zingine sijakaa nikaziona ukubwa wake zaidi ya kupita tu

Over.
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Tangu lini Katoro ikawa Wilaya ? Nani kakudanganya kwamba Katoro ni kubwa kuliko Geita ? Kajipange tena uje na facts.
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
si ungesema tu kuwa hata mikumi ni kubwa kuliko morogoro?
 
Umekosea bora ungesema
Nzega kubwa kuliko tabora.
Tunduma kubwa kuliko songwe.
Kahama kubwa kuliko shinyanga.
Makambako kubwa kuliko njombe
Hapa ni Sahihi ila nyingine alitudanganya et mafinga iizidi iringa ni ndoto za mchana pita dodoma road ndo utaielewa iringa mafinga kwa iringa ni sawa uchukue eneo la ipogoro hadi igumbilo
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Nilipata kuuliza hili jambo humu nilishambuliwa na waliozidiwa ukubwa ikabidi niwe mple
 
Miji mikubwa kuliko makao makuu ya mikoa ni TUNDUMA ,MAKAMBAKO NA KAHAMA hii mingine bado
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
Katoro nakataa niko hapa buseresere
 
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili

Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita

Ongeza wilaya nyingine

..............

USSR
umekula maharage ya wapi wewe? Iringa, Tabora, Shinyanga huzijui
 
Kibaha kubwa kuliko pwani

Mkuu swali linasema wilaya zinazozidi makao makuu ya mkoa.
Kibaha ni makao makuu ya mkoa wa Pwani, hapo ulitakiwa useme kwa mfano: Mkuranga inaizidi Kibaha ama Chalinze inaizidi Kibaha.
 
Hapa ni Sahihi ila nyingine alitudanganya et mafinga iizidi iringa ni ndoto za mchana pita dodoma road ndo utaielewa iringa mafinga kwa iringa ni sawa uchukue eneo la ipogoro hadi igumbilo
Mafinga sawaa na kitwiru mbk ipogolo basi
 
Back
Top Bottom