Hizi wilaya zinazidi makao makuu ya mkoa

Hizi wilaya zinazidi makao makuu ya mkoa

Iringa hii ndo ipitwe na mafinga au unamaanisha iringa ya kilolo au ilula
 

Attachments

  • inbound6633951936288794671.jpg
    inbound6633951936288794671.jpg
    238.4 KB · Views: 14
Dar ni kubww kuliko Dom... Au sijaelewa! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Hiyo miji mingine kadanganya fuatilia data hapo ni makambako ,tunduma na kahama HiYo ndo sahihi
 
Back
Top Bottom