Mafinga ipi hiyo kubwa kuliko Iringa?Mafinga kubwa kuliko Iringa
Katoro kubwa kuliko Geita we muongoKama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili
Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita
Ongeza wilaya nyingine
..............
USSR
Mi mwenyewe kichwa kinaniuma , ni iringa ipi anaongelea hadi mafinga iwe juuMuongo!! Mafinga kubwa kuliko Iringa?? Umetembea Iringa kweli??
Kaliua Kwa Tabora!?..unazijua hizo sehemu!?..Mara mia ungesema Nzega Kwa Tabora,Dodoma mwaka 2006 ilikua haiifiki Nzega Kwa ukubwa na uzuri,mji wa Tabora ukipenyo Cha 25km toka magharibi Hadi masharikiKama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili
Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita
Ongeza wilaya nyingine
..............
USSR
Hiyo Kaliua kubwa kuliko Tabora mjini ni Kaliua ya wapi?Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili
Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita
Ongeza wilaya nyingine
..............
USSR
Kama ni hivyo makao makuu ya mkoa yahamie huko kwenye miji mikubwaKama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili
Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita
Ongeza wilaya nyingine
..............
USSR
Nakataa. Huu ni uongo wa waziwaziMasasi ni kubwa kuliko mtwara
Katibiwe wewe, Kaliua kile kijiji kizidi Tabora haiwezi kuizidi hata UramboKama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili
Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko Songwe
Katoro kubwa kuliko Geita
Ongeza wilaya nyingine
..............
USSR
Acha porojo mkuuMasasi ni kubwa kuliko mtwara