Hizi wilaya zinazidi makao makuu ya mkoa


Umeanza na Makambako isije kuwa uko kwenye msafara wa kanda ya Nyasa? Walisema kwenye msafara wa mamba na Kenge wamo.
 
tarime kubwa kuliko musoma
 
Ukubwa upi ki eneo au makazi? Mana naona umejichanganya data zako
 
Kaliua kubwa kuliko Tabora? Duh
 
Anamaanisha ukubwa wa majina....


Sumbawanga kubwa kuliko Rukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…