Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Makonda aliwai endesha ZOEZI LA KUKAGUA vituo vyote vya polisi na kuamua kutengeneza magari yote yaliyokuwa vituoni kupitia. Sheria za private.
Na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mnoo!
Swali langu la msingi haya magari ambayo yamelala mataili mkayapaki hapo maofisini MWENU mwasubilia mjiuzie kwa bei sawa na Bure?
Cc OFISI ya mkuu wa mkoa wa mwanza uione kwenye jarada