Ni ofisiniJamani mbona mnalazimisha mzee wetu arudi dar kwani kuna nini kipya huko
Yawezekana ni mbinu za medani,lakini sijasikia kutoka kwa press secretary wake kutupa anglau mwanga.Huyu mtu kwa nafasi yake,angeweza ku-limit watu wa kumuona na sio kukimbia ofisi kwa muda wote huo.Kingine, hata Idodomia nako ameshindwa kukaa?
Vyoyote itakavyokuwa,huyu mtu kuna jambo linamsibu na ndio chanzo cha kukaa mbali na watu anaopaswa kuwa nao karibu kikazi.
Narudia,kuna jambo haliko sawa na si kwamba kaamua tu kukaa huko aliko.
Muda utasema.
Mtu kutotaka kwenda ofisini kwake ni dalili ya kuchoka kazi,kutoipenda kazi na hata kuacha kazi.Jamani mbona mnalazimisha mzee wetu arudi dar kwani kuna nini kipya huko
Kwani sheria ngapi zinatupiliwa mbali na hakuna kinachotokeaNi ofisini
Sheria za utumishi wa umma zinamtaka awe Dodoma ofisini au Dar
Ipo siku kuna kitu kitatokeaKwani sheria ngapi zinatupiliwa mbali na hakuna kinachotokea
Huyu mtu kwa nafasi yake,angeweza ku-limit watu wa kumuona na sio kukimbia ofisi kwa muda wote huo.Kingine, hata Idodomia nako ameshindwa kukaa?