Hizi zinaweza kuwa ni dalili za kuichoka na kutoipenda tena kazi aliyoomba na anaweza kuja na maamuzi magumu ya kutogembea tena nafasi hiyo ya juu

Hizi zinaweza kuwa ni dalili za kuichoka na kutoipenda tena kazi aliyoomba na anaweza kuja na maamuzi magumu ya kutogembea tena nafasi hiyo ya juu

Mimi aliposusa kuitisha kikao cha SADC kwa njia ya kideo pale ndo nikaona kazi imeshamuelemea!!
Yani anabutua butua tu liwalo na liwe
Kachoka mapema sana
Jk mwenzie alikuwaga anaenda Jamyeica kubembea
#KakaTuchati
 
Huyu mtu kwa nafasi yake,angeweza ku-limit watu wa kumuona na sio kukimbia ofisi kwa muda wote huo.Kingine, hata Idodomia nako ameshindwa kukaa?

Vyoyote itakavyokuwa,huyu mtu kuna jambo linamsibu na ndio chanzo cha kukaa mbali na watu anaopaswa kuwa nao karibu kikazi.

Narudia,kuna jambo haliko sawa na si kwamba kaamua tu kukaa huko aliko.

Muda utasema.
Yawezekana ni mbinu za medani,lakini sijasikia kutoka kwa press secretary wake kutupa anglau mwanga.
Ila nina uhakika wa jambo mmoja .Wengi wetu hatujui kitu gani Raisi anafanya huko Chato.
 
Lazima apate miaka mi5 ya mwisho... Hii ndio lala salama ya kufisadi vzr ili tubaki tunaduwaa(kumbe na yeye mwizi)
 
Huyu mtu kwa nafasi yake,angeweza ku-limit watu wa kumuona na sio kukimbia ofisi kwa muda wote huo.Kingine, hata Idodomia nako ameshindwa kukaa?

Vyoyote itakavyokuwa,huyu mtu kuna jambo linamsibu na ndio chanzo cha kukaa mbali na watu anaopaswa kuwa nao karibu kikazi.

Narudia,kuna jambo haliko sawa na si kwamba kaamua tu kukaa huko aliko.

Muda utasema.

Nime kuelewa Mkuu kwa kugundua tofauti ya ule ukawaida ulio kwisha zoeleka kinadharia kivitendo na hata kisheria ,labda/ ina wezekana lipo
 
Back
Top Bottom