Hlssf na ulaghai wa mikopo tanzania tujifunze nini?

Hlssf na ulaghai wa mikopo tanzania tujifunze nini?

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,940
Reaction score
1,055
Nilipokosa mkopo heslb nilijua kabisa HLSSF ndo suluhisho langu nika aplay na kutumia gharama nyingi
wakatoa ahadi kwa wote ambao waliokuwa wameomba mikopo kwenye hii taasisi wangepata fedha hiyo kabla ya kuanza semister ya kwanza 2012/13 muda ukaenda mpaka semister ya kwanza ikaisha
wakaja tena kwamba fedha wangetoa semister ya pili lakini mpaka sasa kimya na website yao ime expire ukiwapigia simu hawapokei. na hii taasisi walisema imesajiliwa na hata siku sijawahi kusikia serikali ikitoa ufafanuzi kuhusu hii NGO. Angalizo langu kwa wanafunzi ambao wataanza kuomba mikopo hivi punde wasithubutu kwani wataliwa kama tulivyo liwa
nawasilisha
 
Pole xana usirudie cku nyingine
 
Mwenyewe nimeshuhudia watu kadhaa wakiapply na feedback kurudi kana kwamba wamepata na watatumia hizo hela lakini mpaka leo wanapiga miayo tuu na kujikomalia. Hawa jamaa shortly cjawapenda.
 
shida ndizo zinamfanya mtu aonekane mjinga kwa kutapeliwa, kibaya zaidi wanampa mtu matumaini makubwa kiasi kwamba anahairisha kupambana sehemu nyingine akiwategemea wao mwisho wa siku wanakuacha njiani usijue kwa kutokea, najua kuwa huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati mmoja ipo siku watapatikana, maana hata ofisi wamehamisha, wamepiga pesa za kutosha kwa kutumia saini za watoto wa wala mlo mmoja, hakika asiyenacho hata kile kidogo alicho nacho atanyang'anywa. nani wa kuwahurumia na kuwakomboa wana jamii hawa wenye nia ya kujikomboa kwa ujinga, umaskini na maradhi lakini mwisho wa siku jitihada zao zinazurumika kwa wajanja wa mujini. kama Bin laden alipatikana kwa nini hawa nao wasipatikane ili kurejesha saini za wahanga? Hakika dunia haina huruma
 
Walio kamatika nao n mabwege coz 2me2pia thread kibao kuhuxu hao jamaa bt raia bdo wakawaaminiia amakweli dunia gunia wote 2mo
 
Unafikir watakuelewa kw umaskin huu xubir utapata taarifa zao wakilalamika baada ya kupgwa za macho
 
Back
Top Bottom