Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,940
- 1,055
Nilipokosa mkopo heslb nilijua kabisa HLSSF ndo suluhisho langu nika aplay na kutumia gharama nyingi
wakatoa ahadi kwa wote ambao waliokuwa wameomba mikopo kwenye hii taasisi wangepata fedha hiyo kabla ya kuanza semister ya kwanza 2012/13 muda ukaenda mpaka semister ya kwanza ikaisha
wakaja tena kwamba fedha wangetoa semister ya pili lakini mpaka sasa kimya na website yao ime expire ukiwapigia simu hawapokei. na hii taasisi walisema imesajiliwa na hata siku sijawahi kusikia serikali ikitoa ufafanuzi kuhusu hii NGO. Angalizo langu kwa wanafunzi ambao wataanza kuomba mikopo hivi punde wasithubutu kwani wataliwa kama tulivyo liwa
nawasilisha