Hmmm....eti ni kweli...?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540

Is it because they are better at keeping secrets or is it because they are better at lying or is it because they are better at both?
 
Is it because they are better at keeping secrets or is it because they are better at lying or is it because they are better at both?

Hahahahahahaha,

Kaka,... ndo umegundua leo kwamba watu wenye pyepye nyingi (kama wanaume) mara nyingi huwa wana zero score kwenye maunjanja ya maisha??

Ndiyo maana hawa wadau huwa wanatu-enjoy!!

Anyway, if you can't fight them.....!!

Babu DC!!
 
The first option is true. Women are better secret keepers.

Labda uongezee nyingine ya 'better pretenders'. Atatoka small house roho kwatuu, akifika kwa mumewe/bf with a wide smile you won't suspect a thing. Ila mwanaume akitoka small house utadhani alilishwa shubiri kisirani chake (sijui huwa hasira ya kuchunwa?)

Hehehe! Aisee, my AK47, kama unayo mwezi wa toba huu!
 
Hahahahahahaha,

Kaka,... ndo umegundua leo kwamba watu wenye pyepye nyingi (kama wanaume) mara nyingi huwa wana zero score kwenye maunjanja ya maisha??

Ndiyo maana hawa wadau huwa wanatu-enjoy!!

Anyway, if you can't fight them.....!!

Babu DC!!

Hahahaaaa hawa watu bana. Yaani we acha tu.
 
Babu, big respect to you, busara zako aisee!

Mie kuna ndugu yangu alimcheat mkewe muda mrefu tu tukanyamazia. Akaanza kuleta dharau kwa mkewe na ku-play hard to get. Hadi akastukiwa. Nikamuonya kesi ilipofika kwangu. Sasa hivi mkewe ana affair ya kufa mtu. Na mie formula yangu siingilii maisha ya mtu. Namngoja alete kesi nimuambie wewe ndo mwalimu wake, sahihisha daftari uwe mupolee!

Mwanaume akiwa cheated anatia huruma as if it is the end of the world! Sikilizia akikamatwa yeye anavyokuwa m'babe na kulazimishia asamehewe!
 
i wish to find one who can lie to me and keep secrets

i am so good at uncover secrets that i hate myself for that....

Ushawahi kumuuliza msichana ambaye labda umewahi kuwa na uhusiano naye kuhusu idadi ya wanaume aliyowahi kuwa nayo kabla yako wewe? Kama umewahi most likely uliambiwa idadi ndogo sana. Kama alikutajia idadi ndogo, uliamini?
 
Come onnn! U have never mingled with smart women? I wish you could try me, give me a good enough reason to lie to u, and see if u can uncover,lol! Tatizo nitajiaminisha kwako kiasi by the time I'm lying to u, u won't even believe that I am!

I should stop watching tv too much,lol!
i wish to find one who can lie to me and keep secrets

i am so good at uncover secrets that i hate myself for that....
 
Ndo hivyo King'asti,

Sie wa enzi za mwalimu tunajua kuwa mkiamua (tena bila kuwezeshwa), mnao uwezo mkubwa sana wa kumfanya mtu awe mdogo zaidi ya piriton.....!!

Sema tu gari zenu nika Land Rover 109, lazima mtu atumie nguvu kuifikishwa kwenye full speed!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Boss, umeshawahi kusifiwa na mwanamke au wanawake kuhusu sexual prowess yako? Ushawahi kuambiwa 'that was good' (meaning the sex)'?

hata sijaelewa ur angle
but nikupe a very true story...

nilikuwa na rafiki ambae tulikuwa tuna party pamoja sana
na huko mitaani akichukua wanawake wa pembeni anawaleta kwangu
zamani kidogo
na wanawake walikuwa wanamsifia mno utundu wake kitandani
but guess what...niliwahi kutoka na gf wake na akawa
anamdanganya jamaa ili tu asi sex nae
anakuja kwangu
na i was not that good.....
but his gf preferred me than him...
sijui unaelewa hiii?
 
Huamini kuna wanawake waliowahi kuwa na minimal number of relationships? Why? Decent galz still do exist...
Ushawahi kumuuliza msichana ambaye labda umewahi kuwa na uhusiano naye kuhusu idadi ya wanaume aliyowahi kuwa nayo kabla yako wewe? Kama umewahi most likely uliambiwa idadi ndogo sana. Kama alikutajia idadi ndogo, uliamini?
 
Hivi Boss, umeshawahi kusifiwa na mwanamke au wanawake kuhusu sexual prowess yako? Ushawahi kuambiwa 'that was good' (meaning the sex)'?

Hiyo huwa mara nyingi ni kanyaboya....

Ni sawa na kuambiwa kwamba may be ujaribu au ujitahidi next time...anakuwa hataki tu kukuvunja vunja nguvu!!

Hawa watu achana nao bwana!!

Babu DC!!
 
Ushawahi kumuuliza msichana ambaye labda umewahi kuwa na uhusiano naye kuhusu idadi ya wanaume aliyowahi kuwa nayo kabla yako wewe? Kama umewahi most likely uliambiwa idadi ndogo sana. Kama alikutajia idadi ndogo, uliamini?

i never asks those questions
na hata akijopendekeza kujielezea i stop her
namwambia sitaki kusikia.....
 
i wish to find one who can lie to me and keep secrets

i am so good at uncover secrets that i hate myself for that....

Nitazidi kukufanyia maombi hata kwa yule mzee wa kutabiri ...TB Joshua ili usimpate dada/mama wa namna hiyo....!!

Sipendi kuwaona wanaume wenzangu wakitoa machozi ya uchungu.....!!

Babu DC!!
 
mwanamke akifanikiwa kunidanganya ujue
ama i pretend nimedanganyika au i dont love her that much....
otherwise i can tell the truth....so fast
 
Yaani hapo kwenye 109 ndo uko sahihi kabisaa! Sio tu kwenye speed, ila na spares nazo zinasumbua na ni ghali.

If I was a man, I wouldn't mess with a smart woman aisee! You push a woman to the edge, she will flip over and you will get the heat! Najua I can even surprise myself, I'm just praying that I won't meet that man who will have enough strength to get me to the edge!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…