Mwanawalwa
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,014
- 300
kwann wat has that idadi got to do with your new rltsnp ? akikwambia inasaidia nn sasaUshawahi kumuuliza msichana ambaye labda umewahi kuwa na uhusiano naye kuhusu idadi ya wanaume aliyowahi kuwa nayo kabla yako wewe? Kama umewahi most likely uliambiwa idadi ndogo sana. Kama alikutajia idadi ndogo, uliamini?